31/05/2025
KUDEKEZANA KUNA LETA AFYA YA NDOA NA WANANDOA
Hakuna mke ama mume asiyependa kudekezwa k**a mtoto.
Yaani hata k**a ndevu zimekomaa k**a beberu bado akidekezwa kwa upendo anakuwa mpole na raha zikizidi utashangaa kitambi kinatoka chenyewe k**a bosi.
Kila kona atapokea sifa k**a mume anayepata vitamini adimu kutoka kwa mkewe.
Kwa upande wa mke ni zaidi kwani akidekezwa hata k**a alikuwa kimbaumbau watu wanaanza kusema anatumia mchina maana shape itajitengeneza yenyewe kumpa mvuto wa sura na umbo.
Umbo namba nane litakaloacha utamu kumwagika haliwezi kujificha palipo furaha ya mke.
Yaani k**a kuna jambo tunapaswa kulipa kipaumbele ni kuhakikisha tunafanyika kitulizo cha mwili na roho kwa wenza wetu.
Mume na MKE mwanaume hakikisha unampa nafasi mwenza wako afanye Yale mazuri anayoyajua.
Ubinafsi haufai.
Mdekeze na kumbembeleza kwa mabusu na kila ufundi wa chumbani.
Usiwe mzito kwani huko nje kuna watu ni wepesi kuk**ata fursa ambayo mwenza anaweza kuwa anaikosa ndani kutoka kwako.
Michepuko haina lolote kuwazidi nyie bali uvivu wenu na kuona cha nini? Ndiyo unawapa fursa wanaowaza watakipata lini?
Let them suffocate kwa kukosa fursa ya kuingilia ndoa zetu.
Hawana jipya zaidi ya kusubiria kulala kwetu na kubweteka kwetu kwa kudhani tumefika.
EWE MWANAMKE, CHANGAMKIA NDOA YAKO.
We mwanaume Mueshimu mkeo kwakumuonesha kua yeye niwathamani mbele zako na mbele za watu wote.
MWANAMKE na ndoa Bora .