Bahari ya mapenzi

Bahari ya mapenzi Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Bahari ya mapenzi, Épicerie, ramseyramazani37@gmail. com, Bukavu.

08/05/2026

WEWE UNGE FANYA JE?

HUU NI UJUMBE KWA WAPENZI WAKO ALIE MBALI NA WEWE ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Nakukumbuka sana mpenzi wangu. Ingawa umbali umetuteng...
09/03/2026

HUU NI UJUMBE KWA WAPENZI WAKO ALIE MBALI NA WEWE ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Nakukumbuka sana mpenzi wangu. Ingawa umbali umetutenganisha kwa sasa, moyo wangu uko karibu na wewe kila wakati.

Nataka ujue kuwa nakujali sana na ninakuombea kila siku ili mambo yako yaende vizuri.
Usikate tamaa kwa chochote unachopitia huko, kumbuka kuna mtu hapa anayekuamini na anayekupenda kwa dhati.
Siku moja umbali huu utabaki kuwa kumbukumbu tu, na tutafurahia kuwa pamoja tena. Endelea kuwa na nguvu, mimi niko hapa kwa ajili yako siku zote. Nakupenda sana. ❤️

📝📝📝📝 BAHARI YA MAPENZI BY Ramsey ramazani

UJUMBE KWA MPENZI WAKO AU MKE WAKO LEO HII """"""mke wangu mpendwa ❤️Leo ni siku maalum sana, Siku ya Wanawake Duniani. ...
08/03/2026

UJUMBE KWA MPENZI WAKO AU MKE WAKO LEO HII """"""mke wangu mpendwa ❤️
Leo ni siku maalum sana, Siku ya Wanawake Duniani.

Napenda kutumia nafasi hii kukuambia jinsi ninavyokuthamini na kukuheshimu.

Wewe ni mwanamke mwenye moyo wa upendo, uvumilivu na nguvu kubwa. Kila siku unafanya maisha yangu yawe bora zaidi
Ninakushukuru kwa kuwa rafiki yangu, mshauri wangu na mwenza wangu wa maisha.

Upendo wako unanipa furaha, amani na nguvu ya kuendelea kupambana na changamoto za maisha.
Leo ninakuombea afya njema, furaha tele na mafanikio katika kila unachofanya.

Uendelee kung’aa k**a nyota angani, kwa sababu wewe ni mwanamke wa kipekee sana katika maisha yangu.

bahari ya mapenzi by Ramsey ramazani 📝📝📝📝

https://youtu.be/Z7Qb8xK-FJ8?si=zLiICaq1wNJSuhOe.🔴FIZI KWANZA. MSANI JASTAN OG AFUNGUKA MENGI KUUSU MZIKI WA FIZI. PIA A...
04/02/2024

https://youtu.be/Z7Qb8xK-FJ8?si=zLiICaq1wNJSuhOe.

🔴FIZI KWANZA. MSANI JASTAN OG AFUNGUKA MENGI KUUSU MZIKI WA FIZI. PIA AKOSOWA WASANI WENGINE.SIKILIZA MWANZO MWISHO.

NA USIKOSE KU KU COMMENT NAKU SHARE CHANEL YETU 🙏🙏🙏🙏

TV

03/02/2024

INTERVIEW
NA MSANI JASTAN OG AKIWA KWENYE KIPINDI CHA NO STRESS.

Akuna rapa zaidi yng mimi na wale waliotangulia wanalifaamu ilo. Pia wasani ambao siwakubali ni Drama boy. Dj Razzy mkali.
Wasani wak**e wa Fizi siwezi fanya kazi nao. Mana awajitambuwi.
Amesema OG kipindi alipo kua kwenye SAID TV MEDIA. soon full interview itakua kwenye Chanel yetu ya SAID TV MEDIA TV.
Usikose ku follow page yetu🙏🙏🙏🙏

https://www.facebook.com/61554016024122/posts/122114995022133867/?app=fbl
21/12/2023

https://www.facebook.com/61554016024122/posts/122114995022133867/?app=fbl

Msani wa k**e Queen Solange ambae kwasasa anasukuma kurudumu lake la mziki uko kambini. Kwasasa ipo mjini baraka ambako ame kuja kuhandaa concert kubwa💪💪ambayo kitafanyika mjini baraka tariki 25/12/2023 kwenye ukumbi wa WHATSAPP. mida ya saa tisa jioni. Bali naayo msani huyo wa k**e adai kwamba wasani wa nyumbani awana upendo mana wana shindwa kusambaza hata kazi za wengine ila licha yaayo anawaalika wasani wote ku parfom kwenye concert Iyo. Kwenye maojiyano ya leo afunguka mengi zaidi. Je msani huyu unamchukulia vp wewe ?? 🤔☝️this is TV MEDIA follow us SAID TV MEDIA. SAID TV MEDIA. toka SAID TV. 🙏

21/12/2023

Bahari ya mapenzi, usikose ku ku comment naku share Chanel yetu ya YouTube

K**a wewe kweli ulisoma sema neno moja kwa teacher apo
05/12/2023

K**a wewe kweli ulisoma sema neno moja kwa teacher apo

25/09/2023

BAHARI YA MAPENZI, Mapenzi na ndoa, Zawadi ya mapenzi. Story za mapenzi,

Nenda YouTube ukazifaamu Zawadi zakumpa mpenzi wako ❤️🙏 usikose ku subscribe ku like ku comment naku share
25/09/2023

Nenda YouTube ukazifaamu Zawadi zakumpa mpenzi wako ❤️🙏 usikose ku subscribe ku like ku comment naku share

BAHARI YA MAPENZI, Mapenzi na ndoa, Zawadi ya mapenzi. Story za mapenzi,

Adresse

Ramseyramazani37@gmail. Com
Bukavu

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Bahari ya mapenzi publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager