Amini neno la Mungu ufunguliwe ki miujiza."F3"

Amini neno la Mungu ufunguliwe ki miujiza."F3" Tuwa ombeye ndugu,jamaa na marafiki bilaku sahabu inchi yetu...

01/01/2024

Mwanzo 1
28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.

29 Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;

10/12/2023

Neno la Siku

1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.

09/12/2023

Que Dieu nous bénisse

05/12/2023
05/12/2023

NENO LASIKU

1 Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,

2 k**a walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,

03/12/2023

Neno la Siku"
2 Nimewapenda ninyi, asema Bwana. Lakini ninyi mwasema, Umetupendaje? Je! Esau siye ndugu yake Yakobo? Asema Bwana; ila nimempenda Yakobo"

02/12/2023

Campagne électorale en Ituri: Un ba**er du couple présidentiel à la demande du publicMboteNov. 29, 2023Lire l'originalÀ la fin de son meeting de campagne qui s’est tenu à Bunia en Ituri ce mardi, le président Félix Tshisekedi a présenté sa femme Denise Nyakeru au public. En s’adressant ...

Musani k**a  huyu ambaye ana vuma sana ukamu ambiya abadili namna yaku pana ujumbe yake ki muziki, aifanye kwa maneno Ya...
01/12/2023

Musani k**a huyu ambaye ana vuma sana ukamu ambiya abadili namna yaku pana ujumbe yake ki muziki, aifanye kwa maneno Yaki kristu ataitika kweli?

01/12/2023

Katumbi au Nord-Kivu : “Je vais m’installer à Goma (…) Je vais mourir pour le Nord-Kivu” !BreveNov. 23, 2023Lire l'original Le candidat à la présidentielle Moïse Katumbi assène une tournée quasiment parfait. Après la ville de Bunia, Katumbi est arrivé cet après-midi dans la ville to...

30/11/2023

NENO LA SIKU

1 Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,

2 k**a walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,

6 Na wote wawili walikuwa wenye haki mbele za Mungu, wakiendelea katika amri zote za Bwana na maagizo yake bila lawama.

29/11/2023

1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?

2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula;

3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.

4 Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,

5 kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa k**a Mungu, mkijua mema na mabaya.

6 Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.

Adresse

Avenue Kaputula
Bukavu

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Amini neno la Mungu ufunguliwe ki miujiza."F3" publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager