Ukweli wa jamii

Ukweli wa jamii Abonnez-vous à notre chaîne pour recevoir des mises à jour en permanence.

19/08/2026

Mes publications ont obtenu plus de 1 150 réactions la semaine dernière. Merci à tout le monde pour votre soutien ! 🎉

Avec Tamaduni Afrika News – Je fais désormais partie de ses super fans ! 🎉
25/06/2026

Avec Tamaduni Afrika News – Je fais désormais partie de ses super fans ! 🎉

🎉 Facebook recognized me as a consistent post creator this week!
19/06/2026

🎉 Facebook recognized me as a consistent post creator this week!

04/06/2026

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

30/05/2026

27/05/2026

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

Mpaka wa Kavimvira–Gatumba unaounganisha 👉  na 👉  una historia ndefu inayohusiana na ukoloni, biashara, na mahusiano ya ...
26/04/2026

Mpaka wa Kavimvira–Gatumba unaounganisha 👉 na 👉 una historia ndefu inayohusiana na ukoloni, biashara, na mahusiano ya watu wa eneo la maziwa makuu ya Afrika.
Historia ya mwanzo
Kabla ya mipaka ya kisasa:
Wakazi wa maeneo ya Uvira na Bujumbura walikuwa wakivuka kwa urahisi.
Kulikuwa na biashara ya:
👉samaki kutoka Lake Tanganyika
👉chumvi
👉mazao ya kilimo
👉mifugo
Watu wa pande zote mbili walikuwa na uhusiano wa kifamilia na kijamii kabla ya kuwekwa kwa mpaka rasmi.
Kipindi cha ukoloni
Upande wa ulikuwa chini ya utawala wa Belgium k**a Belgian Congo.
pia ilitawaliwa kwanza na Germany, baadaye Belgium.
Wabelgiji waliweka mpaka rasmi kati ya maeneo haya.
Kavimvira na Gatumba zikaanza kuwa sehemu ya kudhibiti watu na bidhaa.
Baada ya uhuru
Baada ya:
Congo kupata uhuru mwaka 1960
Burundi kupata uhuru mwaka 1962
mpaka huu ukawa:
njia muhimu ya biashara
njia ya usafiri wa wananchi
sehemu ya kuingia wakimbizi wakati wa migogoro ya kisiasa katika eneo la maziwa makuu.
Jiunge na page zetu ili kupata historia na habari zenye kuelimisha Asante 🙏

25/04/2026

😂😂😂

Mto   (Rusizi) ni mto muhimu sana katika Afrika ya Kati. Unapatikana kati ya nchi za 👉Burundi 🇧🇮 👉Rwanda 🇷🇼👉DR.Congo 🇨🇩M...
23/04/2026

Mto (Rusizi) ni mto muhimu sana katika Afrika ya Kati. Unapatikana kati ya nchi za
👉Burundi 🇧🇮
👉Rwanda 🇷🇼
👉DR.Congo 🇨🇩
Mto huu unatoka katika Lake Kivu
Kisha unatiririka kuelekea kusini hadi kuingia kwenye Lake Tanganyika
Una urefu wa takribani kilomita 117
Umuhimu wake:
🔴1.Mpaka wa nchi–sehemu ya mto huu hutenganisha Rwanda, Burundi na Congo.
🔴2.Umeme – kuna mabwawa ya kuzalisha umeme kwenye mto huu yanayosaidia nchi za eneo hilo.
🔴3.Mazingira – mto huu una wanyama k**a viboko na mamba pamoja na samaki mbalimbali.
🔴4.Biashara na maisha – watu wanaoishi karibu nao hutegemea maji yake kwa kilimo na uvuvi.
Kipekee chake:
Mto Ruzizi ni wa kipekee kwa sababu zamani sana maji ya Ziwa Kivu yalikuwa yanaelekea upande wa Mto Nile, lakini mabadiliko ya kijiolojia yalifanya maji yaanze kupitia Ruzizi kwenda Ziwa Tanganyika.
Jiunge na page zetu ili kupata historia na habari kila siku Asante 🙏

Adresse

République Démocratique Du Congo Sud-kivu Uvira
Uvira

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Ukweli wa jamii publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Raccourcis

Partager