14/04/2026
Hii maziwa ni mwecheche Sana. k**a huna kazi ukikunywa kikombe kimoja Kesho yake unapata kazi. Pia, boss atakupenda na utaongezewa mshahara. K**a uko na biashara, inatoa mikosi na inaleta wateja. Alafu, inafanya ukuwe na ngozi nyororo na inafanya ukuwe na uso soft na pia unakaa katoto. Unataka litres ngapi?