Issac

Issac Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Issac, Grocers, Issac, Lare.

04/07/2026

Yohana 14:12-14
12 Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.

13 Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.

14 Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.

01/07/2026

Warumi 8:2, 4, 6, 13-14
2 Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.

4 ili maagizo ya torati yatimizwe ndani yetu sisi, tusioenenda kwa kufuata mambo ya mwili, bali mambo ya roho.

6 Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti; bali nia ya roho ni uzima na amani.

13 kwa maana k**a tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa; bali k**a mkiyafisha matendo ya mwili kwa Roho, mtaishi.

14 Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.

01/07/2026

Mithali 7:1-3
1 Mwanangu, yashike maneno yangu, Na kuziweka amri zangu akiba kwako.

2 Uzishike amri zangu ukaishi, Na sheria yangu k**a mboni ya jicho lako.

3 Zifunge katika vidole vyako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.

30/06/2026

Mwanzo 28:13, 16-17, 20-21
13 Na tazama, Bwana amesimama juu yake, akasema, Mimi ni Bwana, Mungu wa Ibrahimu baba yako, na Mungu wa Isaka; nchi hii uilalayo nitakupa wewe na uzao wako.

16 Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli Bwana yupo mahali hapa, wala mimi sikujua.

17 Naye akaogopa akasema, Mahali hapa panatisha k**a nini! Bila shaka, hapa ni nyumba ya Mungu, napo ndipo lango la mbinguni.

20 Yakobo akaweka nadhiri akisema, Mungu akiwa pamoja nami, akinilinda katika njia niiendeayo, na kunipa chakula nile, na nguo nivae;

21 nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo Bwana atakuwa Mungu wangu.

Address

Issac
Lare

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Issac posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category