Neema Wehu

Neema Wehu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Neema Wehu, Grocers, Nairobi, Moi.

04/08/2026

Hy!Mpenzi wako mtumie flowers pc arafu asipo kushukuru nakusema asante patakuwa na kitu fulani hakiko sawa wew hakikisha mtumie atakapo yifunguwa asipo sema asante na neno i love u

Kuhusu wanawake nataka nikutowe hofu kwa yule mtu unasema kuwa anakupenda malanyingi huwa wana wake tunapenda wale ambaw...
03/08/2026

Kuhusu wanawake nataka nikutowe hofu kwa yule mtu unasema kuwa anakupenda malanyingi huwa wana wake tunapenda wale ambawo wana tugeyi vitu tofauti mwana umwe ana weza akakupa nyumba gali na hana moyo kwako hakupendi wew kwake inakuwa k**a sehemu ya kujistili alafu mtu ambawo anakupenda niyule ambawo hata hajakupa vitu vingi tu il alikupa moyo wake na anakujali hali ukiuguwa anatamani kufahamu namna umeamka k**a umepata chakula il anakuwa akikosa amani juu yako arafu k**a wew mwanamke k**a bado uko nawule ushenzi wakujaza sim card yako wanaume et Mtalaam,Fundi,Msaidiaji,Muganga mala unakuta kila majina anaanza na My my my nakadhalika...wewe usitegemeye kupendwa kwa dhati utakutana na wasaliti tu ila k**a umeamuwa kuwa na mumoja na kumusikiliza na kutulia naye wewe sikudanganyi mbereni utaishi vizuri na mumewo utanishukulu badaye punguza tama weka imani na maombi huko ukifanya kazi mungu atawasaidia na mwenza wako atakuja kufanikia k**a ukitenda mema unapo zidi uhuni ulevi unapo kutana na mwenza wako unamuzimia nyota kwasababu ya mikosi unayo towa inje kwa sababu ya tamaa mbayaa

Mwanaume ushauli kidogo ukitaka kumuowa mwana mke mchunguze kwanza ujuwe ni mwana mke gani anaweza kuwa ni mke wa mtu ka...
03/08/2026

Mwanaume ushauli kidogo ukitaka kumuowa mwana mke mchunguze kwanza ujuwe ni mwana mke gani anaweza kuwa ni mke wa mtu kaachika huko ameshindikana au amezalishwa ana wa toto nyumbani au ni malaya ile mbaya kwa sababu hawo ndo watu ambawo ni vigumu kuishi nawo ni watu ambawo wanakuwa wanajuwana na watuu wengi wenye tabia mbaya unawakuta nama ladhi mengi sehemu zasiri ma UTI,kaswende nakadhalika nahawo malanyingi kuhusu maladhi haufulahiyi tendo la ndowa kwawo wana kuwa ni wakavu kwel kwel wew tatufa mwana mke ambawo hajachokonolewa k**a takataka badaye nakuja kwa wana wake

12/07/2026
04/07/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! NI Last Seen, Aminata Santa, Elias Elly Elias

Welcome Everybody Loves

Mpenzi wako k**a ume muchoka mwambie bc asichelewe kumutafuta wa ahadhi yake huwenda mungu ame muepusha mashetani yako h...
04/07/2026

Mpenzi wako k**a ume muchoka mwambie bc asichelewe kumutafuta wa ahadhi yake huwenda mungu ame muepusha mashetani yako huko mbeleni kwenye maisha malefu

Wehu@True Love Mag

Mwana mke ambawo anakupenda atakusikiliza kwa lolote tena wale ambawo mkoo kwenye mahusiano chunga sana wa schana wa sas...
04/07/2026

Mwana mke ambawo anakupenda atakusikiliza kwa lolote tena wale ambawo mkoo kwenye mahusiano chunga sana wa schana wa sasa unawakuta wana contact za maajabu ukicheki vizuli ukakuta et kuna fundi wangu nairobi😃mala et mtalaam wangu kisumušŸ˜‚ mala my vitu vingi epuka huyo ni malaya kahaba mkubwa kwa hiyo tafuta wasichana walio tulia wanataka kujenga familly na kingine kwawa dada usiwe na halaka ya kuolewa vituu vizuri huwaga kuchelewa kidogo kwa sababu halaka halaka haina balaka k**a kuna kijana anakwambia umusubilie nijambo njema na umebahatika sikwa kila mtu ila kingine k**a unanamuna tafuta hela sana wew dada il musaidiane na boyfriend wako akikwama muinuwe na muvumilie utulivu na uvumilivu kuza matunda mazuli nawapenda jamen

Following me

Address

Nairobi
Moi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neema Wehu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category