Dr Jimmy w nangili

Dr Jimmy w nangili Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr Jimmy w nangili, Grocers, Nairobi.

LION'S EAR AMA MSHELISHELImmea huu kila mtu anajua vizuri tu kipindi cha utoto wetu k**a ulikuwa soda yetu ya asili ayo ...
30/03/2026

LION'S EAR AMA MSHELISHELI

mmea huu kila mtu anajua vizuri tu kipindi cha utoto wetu k**a ulikuwa soda yetu ya asili ayo maua yake kila mtu alikuwa anavyoza hayo maua yake yalikuwa utamu fulani ila kwa wadogo zetu hawa wakipindi hiki hawawezi kujua

Leo nataka kukupa darasa kwamba huu mmea dawa kubwa unatibu magonjwa mengi sana๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

1 dawa ya ugonjwa wa tonsils
chukua majani yake tafuna na umeze utaleta ushuhuda mwenyew ugonjwa utapotea

2 ukichemsha matawi maua na miziz yake kisha unakunywa inasadia matatizo ya uzazi ( kuimarisha uwezo wa kushika mimba)

3 pia hii inasdia akina dada wenyewe maji mengi (ukeni )chemsha kunywa miziz yake na majani

4 mimi natumia sana kuchemsha matawi na maua yake halafu na kunywa uleta utulivu wa mwili na kuleta usingizi k**a upati using usingizi

5 majani yake ukikausha ukachoma ukapata jivu lake tiba ya kifua kwa mtoto unampa alambe

6 kata kijiti kidogo tembea nacho kwa bag wallet yako uleta bahati kusaidiwa haraka kila mahala unako enda

Kwa leo nishiye hapa nitakuja kueleza jinsi kuandaa mti huu kutibu ( CANCER)
w nangili

MZIWAZIWA NA MAAJABU YAKE .MZIWAZIWA KATIKA TIBA.Ukipata mmea wote  Kisha ukachemsha na kuwa unakunywa kikombe Cha chai ...
29/03/2026

MZIWAZIWA NA MAAJABU YAKE .

MZIWAZIWA KATIKA TIBA.

Ukipata mmea wote Kisha ukachemsha na kuwa unakunywa kikombe Cha chai Cha hiyo dawa Yako kutwa mara tatu itakusaidia mambo yafuatayo,

(a) Hutibu chango.

(b) Hutibu tumbo kujaa gesi.

(c) Maumivu ya tumbo wakati wa hedhi.

(d) Hutibu tumbo linalounguluma.

NB: Kinachotumika hapa ni mmea wote na dakika za kuchemsha ni 15-20 .

Asili huponya
w

mmea huu ni tiba nzuri sana kwa wale wanaosumbuliwa na matatizo ya presha kupanda tumia tiba hii nimewaletea itakusaidia...
29/03/2026

mmea huu ni tiba nzuri sana kwa wale wanaosumbuliwa na matatizo ya presha kupanda tumia tiba hii nimewaletea itakusaidia sana itumie ndani ya siku saba tu chimba mizizi yake chemsha maji yake kunywa nusu kikombe kwa asubuhi na jioni itakusaidia sana w nangili

Inaitwa ibindi kwa lugha ya kiluya...๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡inatibu ugonjwa wa updominal pain au maumivu ya tumbo ya chini...๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡chimba mizizi ...
28/03/2026

Inaitwa ibindi kwa lugha ya kiluya...๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

inatibu ugonjwa wa updominal pain au maumivu ya tumbo ya chini...๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

chimba mizizi yake kisha saga vizuri weka maji kidogo kisha kunywa kidogo sana tutibu maumivu
wa nangili

KWAKO MWANAMKE Kumfanya Mwanaume Akuheshimu na kukutii zaidi : mwanaume kumvuta umakini wake, kumtawala na kumfanya asif...
28/03/2026

KWAKO MWANAMKE

Kumfanya Mwanaume Akuheshimu na kukutii zaidi : mwanaume kumvuta umakini wake, kumtawala na kumfanya asifanye maamuzi au matumizi ya fedha bila kukujulisha? Saga karafuu, changanya na manukato au mafuta mazuri ambayo mwanaume wako atapenda harufu yake. Kila jioni kabla ya kulala, jipulizie au jipake manukato hayo vizuri kisha lala Baada ya wiki utaona mabadiliko. Kisha njoo utoe ushuhuda kwangu.

Dr Jimmy w nangili

27/03/2026

hello friends how are you ๐Ÿ™‹๐Ÿ™‹

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Jimmy w nangili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category