05/07/2026
Kupoesha chai kwa kizungu inaitwaje??
Niko na mzungu hapa namwambia exchange exchange tea with different cup like shwaaa,,,,shwaaa...hasikiii,nimejaribu kumwambia pfffff,,,pffff the tea to remove hotness hashiki mpaka nimemalizia na switch of the tea🤣🤣🤣,,mnapenda ubea,anyway Bwana yesu asifiwe🙏🙏