GIFTY

GIFTY karibuni sana wateja wangu wazuri tukuhudumie, tupo kwa ajili yako. Ofisi zetu ziko samunge na mbauda

tunauza mchele aina zote, maharage aina zote, karanga aina zote, dengu, kunde, choroko, mbaazi, njugu mawe, vitu vya lishe na kila aina ya nafaka.

10/07/2026

Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.💪💪💪💪💪💪

21/04/2026

Strong wealth exprience, Asante ana mwl KELVIN KIBENJE kwa somo zuri sana. kati ya vitu vinavyoclick kwenye akili yangu mpaka sasa, ni sentence ya mwl " UNAPOJIKADILIA JIKADILIE PAKUBWA" yapo mengi ila hili limebeba uzito zaidi ya tan 1000. Asante sana YEBEMBA SOLUTION

21/03/2026

Karibuni sana

21/03/2026

Tunatoa huduma za derivary, kwa wateja wetu wazuri, wapendwa tunakuchamnulia kabisa utakachofanya wewe ni kubandika tu

20/03/2026

karibuni sana wateja wangu wazuri tukuhudumie, tupo kwa ajili yako.
tunauza mchele aina zote, maharage aina zote, karanga aina zote, dengu, kunde, choroko, mbaazi, njugu mawe, vitu vya lishe na kila aina ya nafaka.
Ofisi zetu ziko samunge na mbauda

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GIFTY posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share