Naki Sunflower Oil

Naki Sunflower Oil NAKI GROUP LIMITED deals with processing and marketing sunflower cooking oil in Manyara Region Tanzania

15/11/2025

Jali afya yako mtaji wako jiepushe na magonjwa yasiyoambukiza

FURSA YA BIASHARA INAYOKUA (SCALABLE)Anza safari yako ya kujiajiri na Naki leo na ufurahie faida za kujifanyia kazi kwa ...
29/07/2025

FURSA YA BIASHARA INAYOKUA (SCALABLE)
Anza safari yako ya kujiajiri na Naki leo na ufurahie faida za kujifanyia kazi kwa kasi yako mwenyewe!

Kadri unavyokua ndani ya programu, unaweza kupanua mtandao wako, kuongeza mauzo yako, na kujenga biashara inayokua kwa urahisi. Kadri unavyojitahidi zaidi katika kutangaza Mafuta ya Alizeti ya Naki, ndivyo uwezo wako wa kipato unavyoongezeka.

JISAJILI SASA KWA KUBOFYA HAPA👇🏿👇🏿👇🏿
https://nakisokoni.co.tz/kuwa-wakala-wetu/

GHARAMA NDOGO KUANZATofauti na biashara za kawaida zinazohitaji mtaji mkubwa wa kuanzisha, Programu ya Ushirika ya Naki ...
29/07/2025

GHARAMA NDOGO KUANZA
Tofauti na biashara za kawaida zinazohitaji mtaji mkubwa wa kuanzisha, Programu ya Ushirika ya Naki inakupatia zana na rasilimali za kuanza kupata kipato kwa gharama ndogo sana. Tunatoa vifaa vya masoko, mafunzo, na msaada endelevu ili kuhakikisha unafanikiwa.

Anza safari yako ya kujiajiri na Naki leo na ufurahie manufaa ya kujiajiri kwa kasi yako mwenyewe!

JISAJILI SASA KWA KUBOFYA HAPA👇🏿👇🏿👇🏿
https://nakisokoni.co.tz/kuwa-wakala-wetu/

Kumbuka ugonjwa wa stroke huu ni ugonjwa wa inflammation unaosababishwa na mrundikani wa lehemu katika mishipa ya damu n...
27/07/2025

Kumbuka ugonjwa wa stroke huu ni ugonjwa wa inflammation unaosababishwa na mrundikani wa lehemu katika mishipa ya damu na viungo muhimu k**a moyo, ini figo na unaweza mtokea mtu yeyote wakati wowote tujitahidi kula vizuri na kutumia mafuta ya Naki Sunflower Oil usisubiri mpaka uumwe ndio uanze tiba kinga ni Bora kuliko Tiba.
Afya ndio mtaji
Afya ndio utajiri
Afya ndio furaha
Afya ndio amani
Penda afya yako tumia NAKI PURE REFINED SUNFLOWER OIL KWA AFYA BORA

Address

Ganana Kateshi Hanang'
Arusha
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Naki Sunflower Oil posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Naki Sunflower Oil:

Share