30/05/2026
Je umekua ukijiuliza ni namna gani unaweza kudhibiti mwanga na faragha ndani ya nyumba au ofisi yako kwa mtindo wa kisasa?
Zebra Blinds ni suluhisho bora linalochanganya urembo na utendaji, likikupa uwezo wa kurekebisha mwanga kwa urahisi huku ukiboresha mwonekano wa eneo lako.
Bei;75,000 kwa sqm