Sapejo Unga Lishe

Sapejo Unga Lishe Mtu ni Afya, na Afya hutokana na Lishe Bora.

Karibu tukuhudumie
18/02/2026

Karibu tukuhudumie

Kwa mahitaji ya unga bora na halisi wa lishe kwa ajili ya mtoto wako 0712 155817.Mchanganyiko wenye uwiano sahihi kwa aj...
10/02/2026

Kwa mahitaji ya unga bora na halisi wa lishe kwa ajili ya mtoto wako 0712 155817.Mchanganyiko wenye uwiano sahihi kwa ajili ya mtoto usokuwa na kemikali yoyote.Popote tunakufikia🙏

LISHE ya RIKA ZOTE( Ni uji mtamu sana wenye ladha ya kipekee sana.Lishe hii ni kwa ajili ya watu wote wanaopenda mwili u...
11/01/2024

LISHE ya RIKA ZOTE( Ni uji mtamu sana wenye ladha ya kipekee sana.Lishe hii ni kwa ajili ya watu wote wanaopenda mwili uwe na nguvu pamoja na afya tele.
Lishe hii ina virutubisho vyote muhimu kwa ajili ya kinga na afya ya mwili pia imetengenezwa kwa ubora na usafi wa hali ya juu.
LISHE hii ni nzuri kwa wagonjwa,wanaonyonyesha,mama wajawazito na wengine wote.
Utumiapo unga huu ndani ya week moja mabadiliko utayaona.
UNGA unapatikana kwa ujazo wa kg1 kwa tsh 5000/=Tunapatikana DSM -UBUNGO RIVERSIDE. #0712 155 817

WOTE MNAKARIBISHWA.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255712155817

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sapejo Unga Lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share