Tamu Industries Limited

Tamu Industries Limited Waandaaji na wasambazaji wa bidhaa za nafaka

24/07/2026

Good Morning from Tamu Industries! 🌞💚

A brand-new day is another opportunity to nourish your body, chase your dreams, and spread kindness. Wishing you a morning filled with energy, happiness, and success. Have a wonderful day ahead!

20/07/2026

🥣✨ Uji mtamu unaanza na unga bora wa lishe!

Ukipika uji kwa kutumia Tamu Lishe, unapata ladha tamu, harufu nzuri na lishe yenye mchanganyiko wa nafaka bora kwa ajili ya familia nzima. 💛🌾

Anza siku yako kwa kikombe cha afya, nguvu na ladha ya kipekee — Tamu Lishe, lishe yenye ladha ndani yake!💪🏾🥣

🌾✨ Afya Bora Inaanzia Kwenye Lishe Bora!Furahia nguvu na virutubisho vya asili kupitia Tamu Lishe— unga lishe uliotengen...
16/07/2026

🌾✨ Afya Bora Inaanzia Kwenye Lishe Bora!

Furahia nguvu na virutubisho vya asili kupitia Tamu Lishe— unga lishe uliotengenezwa kwa mchanganyiko wa nafaka na viungo vyenye afya ili kuipa familia yako lishe yenye ubora kila siku. 💚

Kuanzia kifungua kinywa hadi mlo wa kila siku, Tamu Lishe ni chaguo bora kwa maisha yenye afya, nguvu na maendeleo. 🌱🥣

Tamu Lishe — Lishe Bora kwa Afya Bora!

Furahia na tamu Lishe
14/07/2026

Furahia na tamu Lishe

🌾✨ Tamu Lishe — Lishe Bora Kwa Afya Bora!💛Anza siku yako kwa nguvu na afya ukifurahia unga wenye mchanganyiko wa virutub...
10/07/2026

🌾✨ Tamu Lishe — Lishe Bora Kwa Afya Bora!💛

Anza siku yako kwa nguvu na afya ukifurahia unga wenye mchanganyiko wa virutubisho muhimu kwa familia nzima. 🥣🌱

Tamu Lishe imeandaliwa kwa ubora ili kukupa lishe yenye uwiano, ladha nzuri na nguvu ya kuendelea na shughuli zako za kila siku. 💪🏾

👨‍👩‍👧‍👦 Chaguo bora kwa familia inayojali afya.
🛒 Ipate leo na uanze safari ya maisha yenye lishe bora!

Tamu Lishe Plus ni lishe yenye virutubisho vyote muhimu kwa ajili yako na mwanao.Jaribu lishe bora na ufurahie afya na n...
06/07/2026

Tamu Lishe Plus ni lishe yenye virutubisho vyote muhimu kwa ajili yako na mwanao.

Jaribu lishe bora na ufurahie afya na nguvu thabiti katika kila kijiko.

Furahia pilipili nzuri ya Tamu Pilipili ladha ya embe! Sasa zinapatikana madukani na kwenye supwrmarkets.
29/06/2026

Furahia pilipili nzuri ya Tamu Pilipili ladha ya embe!

Sasa zinapatikana madukani na kwenye supwrmarkets.

Furahia ladha ya kipekee na lishe bora kutoka Tamu Lishe—chakula kilichoandaliwa kwa upendo, afya na ubora wa juu ili ku...
26/06/2026

Furahia ladha ya kipekee na lishe bora kutoka Tamu Lishe—chakula kilichoandaliwa kwa upendo, afya na ubora wa juu ili kukupa nguvu na kuridhisha kila mlo wako. Kila kijiko ni afya, kila ladha ni furaha.

Enjoy the rich taste and wholesome nutrition from Tamu Lishe—meals prepared with love, health, and top quality to keep you energized and satisfied every bite. Every spoon is health, every taste is joy.

🍽️✨ Tamu Pilipili Experience – Modern Dining Flavor for any type of menu!Ukitumia Tamu Pilipili hata chakula cha Shuu wa...
25/06/2026

🍽️✨ Tamu Pilipili Experience – Modern Dining Flavor for any type of menu!

Ukitumia Tamu Pilipili hata chakula cha Shuu wa banda umiza kinakuwa na ladha ya menu ya 5-star hotel! 🌶️🔥

Hii si pilipili tu bali ni experience ya dining ya kisasa inayochanganya ladha nzuri, muwasho kwa mbali na harufu nzuri.

Onja ujionee tofauti ya ladha ya kipekee!

Address

Mori Road
Dar Es Salaam
1144

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tamu Industries Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category