Hajuu’s kitchen

Hajuu’s kitchen Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hajuu’s kitchen, Dar es Salaam.

Nyama kavu , chips na sauceFor inquires +255716392008
05/12/2022

Nyama kavu , chips na sauce
For inquires +255716392008

11/04/2022
Beef samosas .. place your order now
06/04/2022

Beef samosas .. place your order now

25/06/2021

anyone 🌝

Mchemsho wa samaki na mchicha mahitaji mchicha samaki Hoho karot kitunguu maji limao chumvi unapochemsha unaanza samaki ...
23/02/2021

Mchemsho wa samaki na mchicha mahitaji mchicha
samaki
Hoho
karot
kitunguu maji
limao
chumvi unapochemsha unaanza samaki samaki akiiva unaweka mchicha hoho na karot na kitunguu kwa pamoja vinachemka kidogo tu mchemsho wetu unakuwa tayari kwakuliwa

SAMBUSA ZA NYAMAMAHITAJI1)Nyama nusu(iliosagwa)2)Pilipili manga kijiko 1 cha chakula 3)Kijiko kimoja cha chakula cha kit...
02/05/2020

SAMBUSA ZA NYAMA
MAHITAJI
1)Nyama nusu(iliosagwa)
2)Pilipili manga kijiko 1 cha chakula
3)Kijiko kimoja cha chakula cha kitunguu Thomu na tangawizi iliyosagwa
4)Mafuta ya kupikia Kiasi
5)Vijiko vinne unga ngano au ute wa yai kwa kufungia sambusa
6)Kaki za sambusa/manda/ chapati nyepesi (unaweza kununua zilizokuwa tayari zimeshakatwa kwa ajili ya sambusa au k**a utanunua zile sheet pana utazikata kwa inchi 4 upana wa ruler yaani upate mistari 3
MATAYARISHO
1)Kausha nyama ya kusaga kwa kitunguu swaumu (thomu) na tangawizi pamoja na chumvi mpaka ikauke vizuri Iache ipoe.
2)Kata kata majani ya kotmiri weka upande Kata kata upate vipande vidogo vidogo(chop) vya vitunguu maji.
3)Zikate pili pili zako slice za mviringo vidogo vidogo.
4)Wakati ukimaliza matayarisho haya na nyama yako itakuwa ishapoa kabisa hapo ndio utachanganya,bizari nzima pamoja na pilipili manga pamoja na vitu vyote ulivyokwisha vitayarisha
5)Koroga unga ndani ya kibakuli au ute wa yai
6)Weka kaki kwa mfungo wa triangle yaani pembe tatu k**a kofia na weka mchanganyiko wa nyama yako kiasi na uanze kuzifunga sambusa zako na ukifika mwisho hapo ndipo upake unga wako kwa ajili ya kuifunga isifunguke wakati wa kuchoma, pendelea kutumia kaki 2 kwa kila sambusa moja.
7)Kuchoma kwake ikiwa unazifanya na kuzichovya hapo hapo mafuta lazima yawe baridi (ninakusudia uweke mafuta na uzitie sambusa kabla hayajapata moto).Na ikiwa uliziweka kwenye friji zikaganda basi unatakiwa uzichome kwa mafuta ya moto.
NOTE:
Watu wengi hupata usumbufu katika kufunga sambusa, Jaribu mara kwa mara utafanikiwa tu, ni kiasi cha kuzoesha mikono kufuatisha ile Triangle tu.
Pia waweza kutupia njegere kiasi zilizopikwa katika mchanganyiko wako wa nyama ili kupendezesha zaidi.

Pasta spicy with pasta sauce 😋😋yummy Call us for oders 📞+255716392008
01/05/2020

Pasta spicy with pasta sauce 😋😋yummy
Call us for oders 📞+255716392008

*Egg chop za samaki*Mnofu wa samakiMayai 12Carot 2Mafuta nusuTambi za vilejaSimba mbili vjk2Pilipili kuwasha 1Tandoor kj...
01/05/2020

*Egg chop za samaki*

Mnofu wa samaki
Mayai 12
Carot 2
Mafuta nusu
Tambi za vileja
Simba mbili vjk2
Pilipili kuwasha 1
Tandoor kjk 1
Fish masala kjk1
Kotmir isage
Mbatata 2 tu
Chenga za mikate
Ndimu 2
Thom

Chemsha samaki. Na thom chumvi ndimu na pilipili (hapa unamchemshia maji ya ndimu tu)yakikauka epua mwache apoe

Chemsha mayai 8 na Mbatata 2 zimenye weka pembeni

Mchambue samaki weka karot ulipara mtie viungo vyote. mueke jikon umkaushe huku ukimkoroga mpk avhapukuke akoleee viungo epua wacha apoe

Ziponde mbatata ziwe. Lain weka katika bakuli tia samaki wako changanya weka mayai mawili mabichi changanya mpk zishikane fanya duara kati weka Yai ulilo chemsha halafu funga yai. Lisionekane garagazisha katika chenga zamikate fanya ivo mpk yamalize mayai yote uliochemsha

Weka mafuta jikoni piga mayai. Katika bakuli na zikatekate uzivuruge tambi. Zako za vileja weka katika sahani chukuua egg chop yako. Chovya katika yai then igaragazishe katika tambi mpk ienee yote halafu choma kwa mafuta mpka ziwe rangi ya brown lait epua weka ktk kichujio mafuta yajigide then weka katika sahan. Enjoy.😋😋😋😋😋😋😋😋

27/04/2020
27/04/2020

Yummy isn’t it?
Unaweza kuweka oda yako kupitia num 📞+255716392008

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hajuu’s kitchen posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share