27/05/2026
Walikuja na orodha ndefu ya mahitaji tena kwa kushtukiza,Walikuja na wasiwasi.
Walikuja na "mtaweza kweli?"
Tulijibu kwa vitendo siyo maneno.
Askari, viongozi, wageni wa daraja la juu wote walisimama kwenye mstari mmoja. Wote walipata. Hakuna aliyeondoka na njaa. Hakuna aliyeondoka na malalamiko.
Hii ndiyo Herchie Catering.
Tukifanya kazi, tunafanya vizuri. Wakati wote.
Event yako ngumu lini?
📩 DM "EVENT" tuanze mazungumzo.