mbuzi_ngombe_alfa_omega_tz

  • Home
  • mbuzi_ngombe_alfa_omega_tz

mbuzi_ngombe_alfa_omega_tz RAMJAAN MEAT LTD
Biashara Halisi, Taratibu Wazi.

Mifugo | Miradi | Uwekezaji

Join Education & Project (VIP)
👇👇👇
https://wa.me/255719302828?text=Hello%20Ramjaan%20Meat%20Ltd,%20nataka%20kujiunga%20Group%20la%20Education%20%26%20Project%20VIP.

24/05/2026
24/05/2026

HUDUMA ZA QURBAN
Ramjaan Meat Ltd ni kampuni inayojishughulisha na usambazaji wa ng’ombe wenye ubora wa hali ya juu kwa shughuli za Qurban pamoja na miradi mikubwa ya mifugo ndani na nje ya Tanzania.
Tunatoa mfumo rahisi wa malipo unaojumuisha malipo ya moja kwa moja (cash) au malipo ya awamu mbili hadi tatu kulingana na makubaliano ya pande husika.

Tuna mtandao mpana wa upatikanaji wa mifugo katika mikoa yote ya Tanzania. Ikitokea mifugo haikupatikana katika eneo ambalo mteja anahitaji kufanyia zoezi la uchinjaji, timu yetu inaweza kutafuta na kuandaa mifugo kutoka mikoa jirani kwa haraka ili kuhakikisha huduma inaendelea bila changamoto.

Pia tuna uwezo wa kusafirisha ng’ombe kutoka Tanzania kwenda sehemu yoyote ndani ya Tanzania au nchi nyingine duniani kuingia Tanzania kulingana na makubaliano maalumu ya usafirishaji na logistics.

Mifugo yetu inakidhi vigezo vyote vinavyohitajika kwa kuzingatia ubora, afya bora, viwango vya kisheria, na kuridhisha mahitaji ya wateja wetu.

Mbali na kuuza mifugo, tunatoa huduma kamili za maandalizi ya shughuli za Qurban. Tunaweza kuandaa kila hatua muhimu mapema ili wageni na washirika wetu wafike na kukuta kila kitu kikiwa tayari, kimepangwa vizuri na kipo kwenye mfumo unaowawezesha kuanza shughuli zao moja kwa moja bila usumbufu.

Kwa uzoefu mkubwa tangu mwaka 2015, tunaelewa kwa kina mahitaji ya kiutendaji, usafirishaji, na mipango inayohitajika kuhakikisha miradi ya mifugo na shughuli za Qurban zinafanyika kwa mafanikio makubwa.

Ramjaan Meat Ltd
"Mifugo ni Mtaji, Sisi ni Suluhisho."

24/05/2026

゚ ゚シ゚

24/05/2026

Kwa mahitaji ya mbuzi na kondoo Piga simu WhatsApp +255719302828, tuna Mbuzi na kondoo wazuri wenye sifa na vigezo vyote.

20/05/2026

Ng'ombe wa maziwa aina ya Friesian anauzwa 3,500,000.
Ana mimba miezi 7, yupo Bagamoyo, amechomwa chanjo zote, ng'ombe yupo safi kila idara. .

Address

Jangwani Street Road

0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mbuzi_ngombe_alfa_omega_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to mbuzi_ngombe_alfa_omega_tz:

  • Want your business to be the top-listed Food & Beverage Service?

Share