01/05/2026
LEO TUZUNGUMZIE TABIA NA UDHAIFU WA GROUP O
1. _HAWAPENDI KUFOKEWA_
Ukitaka kuharibu mfokee mtu mwenye damu group O k**a ni kazi anaiyacha na anaondoka hataka unamlipa hela nyingi hawezi kukaa atakuachia aondoke zake
K**a ni mfanyakazi wako ongea nae kwa namna ambayo ni ya utaratibu nje ya hapo atakuacha na kazi Yako hatak**a anashida vipi ataondoka
2. _MAAMUZI MAGUMU_
Group O mara zote wanakuwa na maamuzi Magumu hawajari utaumia au utapenda wao hawajari as long as maamuzi yake anaona yeye Yuko sawa Wala hafikirii mara mbili kufanya Maamuzi
Anaweza kukuacha bila taarifa na niwakari na wana hasira wakati mwingine hata wao wenyewe hawawezi jiuzuiya na ukiona umemuuzi mtu wa blood O usiendelee kupiga kelele atakupiga mpe muda na utulie muongee Baadae
3. _HAWAPENDI UONGO_
Hawawezi kusifia uongo hawanaga unafki wa kusifia uongo wakati wanajua ni uongo na ukiona mtu wa group O amekusifia ujue hicho kitu umefanya vizuri mno nje ya hapo hawawezi kusifia uongo
K**a mume/mke wako ni group O usithubutu kumdanganya sababu akijua ulimdanganya hatokusamehe kirahisi
_4. VITU WANAVYOPENDA_
Kumtenganisha blood group O na nyama labda nikifo pekee mara zote wanapenda Sana nyama nje ya hapo hakuna uwezekano wa kuishi bila kula nyama
Blood group O na group B wanapenda Sana mapenzi (S*x) na wote wanajua kuwa siyo uhunui ndivyo walivyo hivyo blood O na B wanapenda tendo la muda mrefu
5. _SIFA ZA DAMU O_part 2
1. Wana Kinga imara Sana huwa hawaumwi mara kwa mara na wakiumwa wanaumwa sana
2. Mara zote Hawapendi kumtegemea mtu sababu wanaamini kwenye uwezo wao
3. Niwepesi kudhurumiwa sababu wanapenda kusaidia watu
4. Niwagumu kuelewa jambo lakini wakielewa wanaelewa kweli kweli
5. Mtu mwenye blood O ni mwepesi kukasirika
6. BLOOD GROUP O_
Sifa nyingine ya mtu mwenye damu group O akifanya Diet huwa anapata matokeo mazuri sana kwa haraka tofauti na magroup mengine ya damu
》Sifa kuu ya hawa O hawakubali kushindwa kirahisi.Yani wewe fanya uwezavyo ila hawakubali ni mpaka ashinde.Chochote kile ni mpaka apate matokeo.
》Kwa hio k**a ni ugomvi unagombana na mtu blood O usimalize nguvu zako utachoka wewe k**a sio O mwenzake utachoka wewe maana O kwanza energy wanayo na mda wote wako tayari k**a swala alivyo sharp.
Itaendelea