Masai Elite Butcher

  • Home
  • Masai Elite Butcher

Masai Elite Butcher ππ”π€π‹πˆπ“π˜ πŒπ„π€π“ & ππ‘π„πŒπˆπ”πŒ π’π„π‘π•πˆπ‚π„π’
π’π€πŒπ€πŠπˆ | ππ˜π€πŒπ€ πŸ₯© | π•πˆπ”ππ†πŽπŸŒΆ
πŒπ¨π›π’π₯𝐞: 0757 112 582
Dar es Salaam. Kigamboni, Dar es Salaam, Tanzania

12/06/2026

Wadau wa Biriyan haya sasa njoo masai elite Butcher ujichukulie package yako ,utapike
Tupigie simu Tukuletee chaap,!
Piga simu 0757 112 582

11/06/2026

πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Cha muhimu nipo kitengo cha nyama
Karibuni jamani mnunue Nyama ya mbuzi fresh kabisa
Tupigie simu 0757 112 582
Weka order yako mapema .

08/06/2026

Karibuni mjipatie samaki sato .
Chimbo ni moja tu masai elite butcher
Tupigie simu 0757 112 582

05/06/2026

Tukiendelea kuburudisha wateja wetu, msisahau kuwa Masai Elite Butcher tupo kwa ajili yenu kuhakikisha mnapata huduma bora, nyama safi na ladha halisi kila siku πŸ₯©πŸ”₯

Karibuni mpate huduma zetu za kipekee, ubora wetu ndio kipaumbele chetu. Asanteni kwa kuendelea kutuchagua ❀️
Tupigie simu 0757 112 582

04/06/2026

πŸ” Karibu sana β€ͺ ‬ ujipatie kuku fresh wa kisasa na kienyeji wenye ubora wa hali ya juu πŸ—πŸ”₯
Ladha tamu, usafi wa kiwango cha juu na huduma bora kwa kila mteja.
Leo usipitwe na nyama ya kuku yenye utamu wa tofauti πŸ˜‹

πŸ“Tunapatikana kwa huduma za uhakika
πŸ“ž Karibu uagize sasa mapema kabla haijaisha!
Tupigie simu 0757 112 582

03/06/2026

πŸ”₯ Leo ni siku ya nyama safi na huduma bora! πŸ₯©
Karibu MASAI ELITE BUTCHER ujipatie nyama ya ng’ombe yenye ubora wa hali ya juu, usafi wa uhakika na bei rafiki.

πŸ“Tunakuandalia nyama tamu kwa familia yako, biashara yako na kila tukio muhimu.
Usikubali kupitwa na ladha halisi ya nyama bora! πŸ˜‹πŸ”₯

MASAI ELITE BUTCHER β€” Ubora unaoonja kila siku.

01/06/2026

Karibu sana masai elite Butcher
Tupo kwa ajiri yako

30/05/2026

πŸ₯© Karibu Maasai Elite Butcher! πŸ₯©

Ubora wa nyama ni kipaumbele chetu. Pata nyama safi, laini na yenye ubora wa hali ya juu kwa familia yako na biashara yako.

πŸ“ Tunakuhudumia kwa uaminifu na viwango bora vya usafi.
πŸ”₯ Leo ni siku nzuri ya kujipatia nyama tamu kwa ajili ya chakula chako.

Karibu Maasai Elite Butcher – Nyama Bora,

27/05/2026

Address

Kigamboni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masai Elite Butcher posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Food & Beverage Service?

Share