ROZ Kitchen Products

  • Home
  • ROZ Kitchen Products

ROZ Kitchen Products Remarkable taste

17/08/2025

𝗨𝗸𝗶𝗵𝗶𝘀𝗶 𝗻𝗷𝗮𝗮 𝘂𝘀𝗶𝗷𝗶𝘂𝗹𝗶𝘇𝗲 𝗺𝗮𝗿𝗮 𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶 𝘁𝘂𝗰𝗵𝗲𝗸𝗶 𝘁𝘂𝗸𝘂𝘁𝗮𝘁𝘂𝗹𝗶𝗲🍟🍜

𝗛𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝘇𝗲𝘁𝘂
✅Fast Foods
✅Bites
✅Catering & Canteen Services

🚚 Tunafanya delivery: +255 768 011 441
📍 Goba Uwanjani, Dar es salaam, Tanzania

09/08/2025

Kunywa afya, onja ladha! 🥤 Juisi zetu kutoka RozKitchen ni tamu, safi na zenye virutubisho vya asili – kila funda ni baraka kwa mwili wako. 🍍🍊🍉.

Roz Kitchen tunawashukuru wakulima wote kwa juhudi zao kubwa katika kutuletea vyakula safi, asilia na vyenye afya kila s...
08/08/2025

Roz Kitchen tunawashukuru wakulima wote kwa juhudi zao kubwa katika kutuletea vyakula safi, asilia na vyenye afya kila siku.
Leo tunasherehekea kazi yenu ya thamani.
Asanteni kwa kukuza mustakabali wa chakula. 💚

Weekend bila  ni k**a chapati bila chai! 😋 Njoo tujaze weekend yako kwa ladha na furaha!
24/05/2025

Weekend bila ni k**a chapati bila chai! 😋 Njoo tujaze weekend yako kwa ladha na furaha!

Sehemu ni moja kwa biriani bora na tamu  tuliopo Goba Uwanjani agiza Biriani lako popote ulipo tukuletee au karibu kweny...
23/05/2025

Sehemu ni moja kwa biriani bora na tamu tuliopo Goba Uwanjani agiza Biriani lako popote ulipo tukuletee au karibu kwenye restaurant yetu

🚚 Tunafanya delivery: +255 768 011 441
📍 Goba Uwanjani, Dar es salaam, Tanzania

Fresh, baridi, na ladha ya kipekee — juice kutoka RozKitchen, kwa afya na raha!
07/05/2025

Fresh, baridi, na ladha ya kipekee — juice kutoka RozKitchen, kwa afya na raha!

Baridi inapoozwa vizuri na Mishaki na ndizi choma kutoka ROZ KITCHEN hapa Goba Uwanjani🍲
29/04/2025

Baridi inapoozwa vizuri na Mishaki na ndizi choma kutoka ROZ KITCHEN hapa Goba Uwanjani🍲

Tunawatakia maadhimisho mema ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar 🇹🇿
26/04/2025

Tunawatakia maadhimisho mema ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar 🇹🇿

Leo ni Biriani Day! Umeagiza yako tayari? RozKitchen inakuletea ladha halisi ya biriani yenye harufu na radha ya kuvutia...
25/04/2025

Leo ni Biriani Day! Umeagiza yako tayari? RozKitchen inakuletea ladha halisi ya biriani yenye harufu na radha ya kuvutia! Usikose leo!

RozKitchen inawatakia Heri ya Pasaka yenye furaha, upendo na baraka tele. Tunathamini kila mlo mnaoshiriki nasi – leo tu...
20/04/2025

RozKitchen inawatakia Heri ya Pasaka yenye furaha, upendo na baraka tele. Tunathamini kila mlo mnaoshiriki nasi – leo tunasherehekea maisha mapya na ladha tamu za upendo.

Kipya kinyemi  JUICE MENU🤤🥰
17/04/2025

Kipya kinyemi JUICE MENU🤤🥰

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ROZ Kitchen Products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Food & Beverage Service?

Share