12/05/2026
The Nyamachoma Festival tulikua na Utaratibu wa βMeat Tastingβ maana tulitaka sana kuguarantee good food kwenye tamasha letu. Ulikua hupati banda kabdla hatujajajua UTAUZA NINI - Na kwa Sh ngapi!! Shukran kwa wadau wetu k**a Professional Top Chef aliyeshiriki k**a mmoja wa majaji na wawakilishi toka Bodi ya Nyama. Yes The Nyamachoma Festival imesajiliwa na Bodi ya Nyama π₯ na jukumu letu ni kuhakikisha pia Mabanda ya Nyama yanananunua Nyama kutoka kwa Bucha zilizosajiliwa na machinjio yaliyoruhusiwa.
06.06.2026 -The Nyamachoma Festival Big 15. π₯π₯