Vinut Bev TZ

Vinut Bev TZ Official Distributors of Vinut Tanzania!

Tunakusaidia Kukata Kiu Yako Kupitia Juice Zetu Zenye Utamu Halisi Na Virutubisho Bomba 🍒🍇
📞: 0775555535
📍 : CHINA PLAZA 3rd FLOOR, OFFICE NO 303

Tunaomba wateja wetu mtufate  Kwa upande wa mawasiliano number ni zile zile. Asante.
18/03/2025

Tunaomba wateja wetu mtufate
Kwa upande wa mawasiliano number ni zile zile. Asante.

Vinut Juices ni juice zenye ladha halisi ya matunda. Zimeundwa kwa uangalifu ili kutoa hali ya kuridhisha, yenye ladha n...
13/03/2025

Vinut Juices ni juice zenye ladha halisi ya matunda. Zimeundwa kwa uangalifu ili kutoa hali ya kuridhisha, yenye ladha nyingi tofauti.
🛒 Order za Jumla na Reja Reja 0775555535

J79 Energy drinks zinapatikana katika ladha tofauti tofauti ikiwemo original, Strawberry na Blueberry. J79 zinakupa nguv...
13/03/2025

J79 Energy drinks zinapatikana katika ladha tofauti tofauti ikiwemo original, Strawberry na Blueberry. J79 zinakupa nguvu na kukuchangamsha

Vinut Cafe na Vinut Coffee zinakupa ladha halisi ya kahawa kwa ajili ya kuchangamsha mwili wako na kukupa nguvu. Zinapat...
13/03/2025

Vinut Cafe na Vinut Coffee zinakupa ladha halisi ya kahawa kwa ajili ya kuchangamsha mwili wako na kukupa nguvu. Zinapatikana katika ladha tofauti tofauti zikiwemo Latte, cappuccino na Mocha

Cheval Malt drink ni kinywaji cha malt, ambacho kimejaa ladha ya mvinyo ya shambani na hufanywa kutokana na mchakato wa ...
12/03/2025

Cheval Malt drink ni kinywaji cha malt, ambacho kimejaa ladha ya mvinyo ya shambani na hufanywa kutokana na mchakato wa fermentation ya nafaka k**a shayiri au mahindi. Hii ni aina ya kinywaji ambacho kinapendwa sana kwa sababu ya ladha yake tamu na yenye nguvu. Cheval Malt ni kinywaji kisichokuwa na pombe (non-alcoholic), kinachofanywa kwa kutumia mbegu za shayiri au nafaka nyingine na kinywaji hiki kinapendwa na watu wengi, hasa k**a kinywaji cha kuchoma kiu.

Cheval Malt drink ni Malt halisi iliyochakatwa vema kukupa ladha murua na kukuchangamsha
12/03/2025

Cheval Malt drink ni Malt halisi iliyochakatwa vema kukupa ladha murua na kukuchangamsha

Vinut Cafe na Vinut Coffee zinakupa ladha halisi ya kahawa kwa ajili ya kuchangamsha mwili wako na kukupa nguvu. Zinapat...
12/03/2025

Vinut Cafe na Vinut Coffee zinakupa ladha halisi ya kahawa kwa ajili ya kuchangamsha mwili wako na kukupa nguvu. Zinapatikana katika ladha tofauti tofauti zikiwemo Latte, cappuccino na Mocha

Vinut Cafe na Vinut Coffee zinakupa ladha halisi ya kahawa kwa ajili ya kuchangamsha mwili wako na kukupa nguvu. Zinapat...
12/03/2025

Vinut Cafe na Vinut Coffee zinakupa ladha halisi ya kahawa kwa ajili ya kuchangamsha mwili wako na kukupa nguvu. Zinapatikana katika ladha tofauti tofauti zikiwemo Latte, cappuccino na Mocha

Vinut Juices ni juice zenye ladha halisi ya matunda. Zimeundwa kwa uangalifu ili kutoa hali ya kuridhisha, yenye ladha n...
12/03/2025

Vinut Juices ni juice zenye ladha halisi ya matunda. Zimeundwa kwa uangalifu ili kutoa hali ya kuridhisha, yenye ladha nyingi tofauti.
🛒 Order za Jumla na Reja Reja 0775555535

Vinut Basil Seed ni juice pendwa zilizowekwa Chia seed ndani ambazo zenye faida kemkem kwa afya yako. Moja ya faida inas...
10/03/2025

Vinut Basil Seed ni juice pendwa zilizowekwa Chia seed ndani ambazo zenye faida kemkem kwa afya yako. Moja ya faida inasaidia kuboresha ngozi n.k pia vitamin za kutosha. Zinapatikana katika ladha nyingi tofauti.
🛒 Order za Jumla na Reja Reja 0775555535

Address

CHINA Plaza 3rd FLOOR, OFFICE NO 303
Dar Es Salaam
0000

Telephone

+255775555535

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vinut Bev TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category