13/05/2026
Ufugaji wa Kisasa Unaanza Hapa! 🐓✨
Je, unateseka na magonjwa ya kuku yanayotokana na uchafu? Ni wakati wa kuhamia kwenye mfumo wa Cages kutoka Mwombeki Cage Constructions.
Kama unavyoona kwenye picha, kuku wanakaa katika mazingira safi, maji yanapatikana muda wote, na usimamizi unakuwa rahisi mara mbili zaidi!
✅ Punguza vifo vya kuku.
✅ Okoa gharama za dawa.
✅ Ongeza uzalishaji.
🚚 Tunakufikia na kukufanyia installation popote ulipo.
📞 Piga 0677301300 kuweka oda yako leo!