08/02/2025
*Fanya Mchaichai Kuwa Sehemu ya Kinywaji Chako!*
_Kunywa mchaichai k**a dawa uepuke kunywa dawa k**a chakula!_
_____________________
00. Kuna watu wakiona mchaichai wanaona chakula cha mbuzi na ng'ombe. Hawajui k**a hiyo ni dhahabu ya mwili. Badili mtazamo! Tumia mchaichai k**a chai, kuogea, kutafuna nk!
1. Kujikingina na gonjwa hatari la kansa? Chemsha, kunywa uue cells za saratani zote! Wanatumia sana Waisrael. Kuna zaidi ya saratani 100!
2. Una UTI sugu? Ng'oa mchaichai, osha , chemsha mizizi na majani, tumia asubuhi, mchana, jioni, baada ya siku 21 kapime UTI! Utashangaa sana!
3. Mbu wanasumbua? Chukua majani ya mchaichai, fikinya, weka ndani ulipokaa, mbu wote wanakimbia. Unafukuza mbu bila kuhatarisha afya yako kwa sumu ya viwandani!
4. Unatapika tapika kila ukiweka kitu mdomoni kinarudi? Chemsha mchaichai, tumia, kutapika kwaheri!
5. Tumbo linauma sana? Chemsha mchaichai, tumia, sikilizia, kisha nipe jibu! Hapa ndiyo utamjua Mungu. Mchaichai unaota popote. Huhitaji mbolea.
6. Unaendesha? I mean unaharisha? Chemsha mchaichai, tumia, tatizo litakata! Una homa kali na za mara kwa mara? Chemsha tumia!
5. Una tatizo la baridi yabisi? Chemsha, tumia!Kusafisha figo? Chemsha tumia! Tumbo kuunguruma? Chemsha tumia.
6 Una choo kigumu? Chemsha tumia! Unauchovu wa mwili? Chemsha tumia!
7. Una maumivu wakati wa hedhi? Chemsha, tumia! Unashida ya usingizi? Chemsha, tumia.
8. Unapresha ya kupanda? Saga majani, weka kwenye kikombe cha maji ya moto, tumia, asubuhi, mchana, jioni. Siku 30 unapona
Unataka kuondoakolesto Chemsha tumia
9. Unasahau sana? Chemsha, tumia! Unatoa harufu mbaya sehemu za heshima kwa kina mama! Fikinya kwenye maji, oshea!
10. Una tumbo linaachia makombora? Hiyo ni gesi. Chemsha mchaichai, tumia! Una harufu mbaya mwilini? Chemsha mchaichai, oga!
11. Una mawe kwenye kibofu cha mkojo unasubiri oparesheni? Chemsha, tumia! Una vidonda vya tumbo? Chemsha mchaichai, tumia!
12. CD4 zinashuka? Chemsha mchaichai, tumia zitapanda