AJA chicks company

AJA chicks company Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AJA chicks company, Farm, Tabata kimanga, Dar es Salaam.

πŸ₯ AJA Chicks Company | Since 2023
🌍 Tabata, Dar es Salaam – Tanzania
πŸ₯š Tunazalisha vifaranga bora na vya kipekee πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ“ž 0713 590 730 | 0689 118 154
✨ Vifaranga wenye afya, ubora wa kipekee, soko la ndani!

08/08/2026

karibuuu AJA CHICKS , kwa ushaurii ,vitabu na kupata mbeguu na mayai bora ya kuku wa kila aina Tupoo kwaajili yako.
WTHSPP; 0713 590 730 | 0689 118 154

07/08/2026
30/07/2026

πŸŽ‰Pata kitabu Cha ufugaji leo bure kabisa.
Unataka kuanza ufugaji wa kuku lakini hujui pa kuanzia?
USISIKITIKE! Tumeandaa zawadi maalum kwa ajili yako! πŸ₯πŸ”
πŸ“˜ β€œUSIMAMIZI WA KUKU KWA UFANISI”
Ni mwongozo wa kitaalamu utakao kuokoa muda, pesa, na kukuwezesha kufuga kwa mafanikio!
πŸ’₯ JINSI YA KUPATA BURE:
βœ… Follow ukurasa wetu wa Facebook na Instagram
βœ… Tuma ujumbe WhatsApp (DM) wenye maneno β€œNAHITAJI OFA”
⚠️ Ni kwa wiki hii tu! Ofa hii haitarudi tena hivi karibuni.
πŸš€ Anza sasa safari yako ya kuwa mfugaji bora!
πŸ‘‰ Follow. DM. Pata bure.
πŸ“² Fursa ni yako

29/07/2026

πŸ‘‰ Weka oda yako sasa Kwa bei ya punguzo kabisa! πŸš€
πŸ₯ Usisubiri kupitwa na ofa hii boss
πŸ’ͺ Afya njema | 🌱 Ukuaji wa haraka | βœ… Waliopata chanjo
|πŸ—“οΈ Kuanzia fvranga wenye wiki moja na kuendelea , agizaa kokote uliko nas tutakufikia
πŸ“ Tabata, Dar es Salaam
πŸ“ž 0689 118 154 / 0713 590 730
WAHIIIII SASAAAAH!!!!!!!

26/07/2026

Lishe bora = kuku wenye afya na mayai mengi! πŸ’‘
Unganisha chakula chenye calcium, protein, na multivitamins ili kuku wako akue vizuri.
See less

22/07/2026

Karibu AJA Chicks Company. WEKA ORDER MAPEMAAAH!!!, mzigo unatoka ni vfaranga aina ya chotara ( mbegu kubwa) . 1 chick @ Tsh 1900/= , Bila kusahau, Unapata punguzo unapochukua idadi kubwa
🌟 Faida za kuchagua AJA Chicks Company:
βœ… Vifaranga wenye afya bora
βœ… Wanakua haraka
πŸ“ Mahali: Tabata, Dar es Salaam
πŸ“ž Mawasiliano: 0713590730 / 0689118154
🎯 "Ufugaji wenye mafanikio unaanza na vifaranga bora." Karibu ujipatie vifaranga vya hali ya juu leo!.
" HUJACHELEWA WAH SASAAAAH WAKAT NDO HUU

22/07/2026

πŸ‘‰ Weka oda yako sasa Kwa bei ya punguzo kabisa! πŸš€
πŸ₯ Aina; kuroiler (chotara)
πŸ’ͺ Afya njema | 🌱 Ukuaji wa haraka | βœ… Waliopata chanjo ya awali
πŸ“ Tabata, Dar es Salaam
πŸ“ž 0689 118 154 / 0713 590 730
*BEST CHICKS FOR BETTER HEALTH AND WEALTH* See less

22/07/2026

πŸ₯Unatafuta vifaranga imara na wenye ubora wa hali ya juu?
Karibu AJA Chicks Company! Tunazalisha vifaranga bora vya kila aina vinavyokidhi mahitaji ya kila mfugaji.
🌟 Faida za kuchagua AJA Chicks Company:
βœ… Vifaranga wenye afya bora
βœ… Wanakua haraka
βœ… Bei nafuu kwa kila mfugaji
πŸ“ Mahali: Tabata, Dar es Salaam
πŸ“ž Mawasiliano: 0689118154 / 0713 590 730
🎯 "Ufugaji wenye mafanikio unaanza na vifaranga bora." Karibu ujipatie vifaranga vya hali ya juu leo!

20/07/2026

πŸ—£οΈUliza Swali Lolote Kuhusu Ufugaji… Tutakujibu Hapo Hapo! bure kabisaπŸ£πŸ’¬
Unayo maswali kuhusu ufugaji wa kuku? Unahitaji ushauri kabla ya kuanza au una changamoto fulani? πŸ€”
Sasa ni wakati wako!
AJA Chicks Company tunakupa nafasi ya PEKEE ya kuuliza swali lolote, nasi tutakujibu papo hapo – bure kabisa! πŸ†“βœ…
🟑 Unataka kujua kuhusu chakula bora?
🟑 Unahitaji kujua jinsi ya kutunza vifaranga?
🟑 Unajiuliza lini ni wakati mzuri wa kuanza?
🌟 Njoo WhatsApp ukianza na neno ELIMU nasi tutakufunza chochote unacho hitaji kwenye sekta ya ufugaji wa kuku
πŸ“ Tabata, Dar es Salaam
πŸ₯ AJA Chicks Company – Tunajibu, Tunashauri, Tunakuza Ndoto Zako! See less

Address

Tabata Kimanga
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AJA chicks company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category