mpishi_mzoefu

mpishi_mzoefu Nakufundisha mapishi ya Biashara na Nyumbani
Follow Ujifunze upate faida

18/07/2026
18/07/2026

Nikikwambia jambo
Nimelihakikisha
Nimelithibitisha
Ni uhakika 💯%

13/07/2026

Wale waaminifu nitakutajia hapa bure,Ili kuepuka kutapeliwa pia kupata taarifa sahihi

16/06/2026

Like niweke full video tujifunze

16/06/2026

Weka like zifike 500 niweke full video hapo tujifunze


08/06/2026

Faida 3 za kutengeneza Content

08/06/2026

Tengeneza content

30/04/2026

Kuku vuruga

Mahitaji

Kuku

Hoho

Caroti

Kitunguu maji

Kitunguu swaumu

Tangawizi

Chunvi

Viazi

Jinsi ya kuandaa

Chukua kuku muoshe vizuri,weka kwenye chombo safi kisha Chukua kitunguu swaumu na tangaziwizi kiasi saga,

Chukua mchanganyiko uliousaga wa kitunguu swaum na tangaziwizi kisha changanya na kuku pamoja na chunvi kiasi na Mafuta kidogo(Marination) Acha Dk 15,

Baada ya dakika 15 mkaange kuku,Akakaule kiasi,Kisha chukua zile hoho,caroti na kitunguu vikate kwa urefu

Weka sufuria jikoni kisha weka Mafuta kiasi,weka kitunguu swaum kiasi,baaada ya hapo weka mbogamboga ulizoandaa Yaani,Hoho caroti na kitunguu

Pika hadi mboga zilainike kiasi alafu weka kuku,ongeza nyanya kidogo ya kusaga, k**a huna unaweza kutumia tomato sauce,weka ndimu kiasi na soy sauce(k**a unayo sio lazima)

Baada ya hatua hizo menya viazi Kisha vioshe vizuri,vikate na uvikaange hadi vikauke,

Changanya viazi pamoja na yule kuku uliye mpika,Kisha pakua,Tayari kwa kula

https://mpishimzoefu.blogspot.com/2025/04/jinsi-ya-kupika-kuku-wa-kuvuruga-na.html

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mpishi_mzoefu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to mpishi_mzoefu:

Shortcuts

Share

Category