30/04/2025
✅️𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘
Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize 🇹🇿 (21) amejiunga na klabu ya Olympique Lyonnais Ya Ufaransa kwa mkataba wa Miaka minne.
Yanga Sc wamemuuza kwa dau la bilioni 5.7 kwenda Olympique Lyonnais
Mzize sasa atacheza ligi 1 ya ufaransa🔥🔥🔥🔥🔥
Kwa taarifa zaidi nifollow AzamSportsChrisAzamSports