Listah Henovate

  • Home
  • Listah Henovate

Listah Henovate Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Listah Henovate, Grocers, .

02/06/2026

Je, unatafuta njia rahisi na yenye mafanikio ya kutotolesha vifaranga? Incubator zetu ambazo ni Automatic zinakupa matokeo bora kwa matumizi ya nyumbani hadi biashara kubwa.

✅ Automatic egg turning
✅ Inatumia Umeme na Solar
✅ Rahisi kutumia
✅ Hatching rate nzuri kwa usimamizi sahihi

Sizes zinazopatikana:
🔹 30 Eggs
🔹 63 Eggs
🔹 70 Eggs
🔹 126 Eggs
🔹 140 Eggs
🔹 210 Eggs

Anza safari yako ya ufugaji wa kisasa leo na ongeza uzalishaji wa vifaranga kwa urahisi.

📍 HENOVATE – Shekilango NHC
📞 0743536767
📱 WhatsApp: 0615589552

18/05/2026
18/05/2026

Kwa nini wafugaji wengi wanaichagua HENOVATE?
Kwa sababu tunatoa cages zenye ubora wa hali ya juu, zinazodumu muda mrefu na kusaidia kuku wako kuzalisha kwa ufanisi zaidi. 💪🥚

✅ Material imara isiyoshika kutu kirahisi
✅ Design ya kisasa inayosave space
✅ Rahisi kusafisha na kutunza usafi
✅ Hupunguza upotevu wa chakula na mayai
✅ Husaidia kuku kuwa na mazingira mazuri na afya bora
✅ Inafaa kwa layers & broilers

📌 Ukiwa na cages za HENOVATE unapata:
✔️ Productivity kubwa
✔️ Usimamizi rahisi wa mifugo
✔️ Faida zaidi kwenye biashara yako ya kuku

💚 Chagua ubora.
💚 Chagua uimara.
💚 Chagua HENOVATE.

📍 Shekilango NHC
📞 Call: 0743536767
📲 WhatsApp: 0615589552

16/05/2026

K**a unataka kufuga kisasa na kuongeza kipato kwa kutumia nafasi ndogo,
👉 H-TYPE CAGE ndiyo chaguo sahihi!

Badilisha mfumo wako wa ufugaji leo ukutane na matokeo ya kweli ✅ Inachukua nafasi ndogo
✅ Inafuga kuku wengi kwa eneo dogo
✅ Usafi rahisi
✅ Mfumo imara na wa kisasa
✅ Uingizaji hewa mzuri kwa kuku
✅ Kuongeza uzalishaji na faida. Kutoka HENOVATE
📍 Shekilango NHC
📞 0743 536 767
📲 WhatsApp: 0615 589 552

Afya ya kuku wako ndiyo faida yako!Tunapatikana na dawa nzuri sana za asili zilizotengenezwa na miti shamba za kuku zeny...
15/05/2026

Afya ya kuku wako ndiyo faida yako!
Tunapatikana na dawa nzuri sana za asili zilizotengenezwa na miti shamba za kuku zenye uwezo wa kusaidia kinga na tiba ya magonjwa mbalimbali ya kuku. 💪

✅ Vitamins za kuongeza afya na ukuaji
✅ Dawa ya Kideri
✅ Tiba ya Mafua ya kuku
✅ Typhoid
✅ Gomboro
✅ Minyoo
✅ Ndui na matatizo mengine ya mifugo

Tumia tiba asili kwa kuku wenye afya, ukuaji mzuri na uzalishaji wenye tija zaidi. 🥚🐓

25/02/2026

Still unafuga chini? It’s time to upgrade!
Ufugaji wa kisasa unaanza na quality cages 🔥
✔️ Usafi wa hali ya juu
✔️ Mayai safi bila kupasuka
✔️ Matumizi madogo ya chakula
✔️ Easy management & high productivity
Ukichagua mfumo sahihi leo, unaongeza faida kesho 💰
Don’t farm the old way… Farm the smart way!
Chagua cages bora, chagua mafanikio.

25/02/2026

Still unafuga chini? It’s time to upgrade!
Ufugaji wa kisasa unaanza na quality cages 🔥
✔️ Usafi wa hali ya juu
✔️ Mayai safi bila kupasuka
✔️ Matumizi madogo ya chakula
✔️ Easy management & high productivity
Ukichagua mfumo sahihi leo, unaongeza faida kesho 💰
Don’t farm the old way… Farm the smart way!
Chagua cages bora, chagua mafanikio.
Tunapatikana Shekilango Urafiki.

05/09/2025

"Unataka kuku wako wazae zaidi, waishi kwa afya, na kazi yako iwe rahisi? 🤔✅ Cages zetu za kisasa ndizo suluhisho! Zimedumu, ni rahisi kusafisha na zinaongeza uzalishaji

👉 Wasiliana nasi leo upate ofa kabambe + ushauri wa bure! 📞📦

16/07/2025

📦🐓 CHICKEN WIRE (25m) 🐓📦
Unatafuta waya imara kwa ajili ya kufuga kuku, kutengeneza mabanda au matumizi ya bustani? Tuna Chicken Wire yenye urefu wa mita 25, tayari kwa matumizi! 🙌

✅ Imara na ya kudumu
✅ Rahisi kufunga
✅ Inafaa kwa kuku, bustani, uzio wa mbwa n.k
✅ Imetandazwa vizuri (courted) – hakuna taabu ya kuifungua

📍 Available sasa!
📞 Wasiliana nasi: [0615589552]
📦 Delivery inapatikana

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Listah Henovate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Food & Beverage Service?

Share