Qaisam Collection

Qaisam Collection πŸ›’ QAISAM MART
🌾 Vyakula β€’ Vinywaji β€’ Bidhaa za matumizi ya kila siku
πŸ“ Yombo Vituka, Dar es Salaam
🚚 Tunatuma mikoa mbalimbali
πŸ“² Agiza WhatsApp: 0621504499

Kila asubuhi ni ukumbusho kwamba bado una nafasi ya kubadilisha maisha yako. Tumia siku ya leo kufanya jambo litakalokus...
23/06/2026

Kila asubuhi ni ukumbusho kwamba bado una nafasi ya kubadilisha maisha yako. Tumia siku ya leo kufanya jambo litakalokusogeza karibu na ndoto zako.

Kusamehe si ishara ya udhaifu, bali ni zawadi unayojipa mwenyewe. 🀍Kuna maumivu ambayo hayaondoki kwa kulipiza kisasi, b...
17/06/2026

Kusamehe si ishara ya udhaifu, bali ni zawadi unayojipa mwenyewe. 🀍

Kuna maumivu ambayo hayaondoki kwa kulipiza kisasi, bali kwa kuachilia. Si kila aliyekuumiza atakuomba msamaha, na si kila aliyekukosea atatambua kosa lake. Lakini usisubiri hilo ili upate amani.

Samehe, si kwa sababu walistahili, bali kwa sababu moyo wako unastahili kuwa huru. Kubeba chuki ni mzigo unaokuzuia kuona fursa mpya na kuishi kwa furaha.

Acha yaliyopita yabaki kuwa somo, si gereza la maisha yako. Endelea mbele, kwa sababu maisha hayaishi kwenye maumivu bali kwenye hatua unazochukua baada ya maumivu.

Acheni tabia ya kuwachafua watu, kufichua siri zao au kuwasema vibaya baada ya ugomvi, kuachana au kutofautiana. K**a al...
16/06/2026

Acheni tabia ya kuwachafua watu, kufichua siri zao au kuwasema vibaya baada ya ugomvi, kuachana au kutofautiana. K**a alikuwa mbaya kiasi hicho, kwa nini ulimuita rafiki, mpenzi au mtu wa karibu hapo awali?

Ukomavu si kushinda mabishano, bali ni kujua kuondoka na heshima. Sio kila kitu ulichojua kuhusu mtu kinapaswa kuwa mada ya watu wengine baada ya mahusiano kuisha.

Kumbuka, tabia ya kumsema vibaya mtu wa jana humfanya kila mtu ajiulize utasemaje kuhusu wao kesho. Heshima ni muhimu kuliko kulipiza kisasi kwa maneno.

Neno hili lilikuwa linanijia siku nzima, nimeamua kulishare na nyie. Pokea k**a fundisho, si shambulio. ❀️

Usihuzunike kwa sababu mambo yanaonekana kwenda polepole. Wakati mwingine Mungu anakutayarisha kwa jambo kubwa zaidi kul...
16/06/2026

Usihuzunike kwa sababu mambo yanaonekana kwenda polepole. Wakati mwingine Mungu anakutayarisha kwa jambo kubwa zaidi kuliko unavyoweza kufikiria. Endelea kufanya kazi kwa bidii, kuwa na moyo wa shukrani na kuamini mchakato. Kuna milango ambayo haitafunguka kwa haraka kwa sababu kuna masomo muhimu unapaswa kujifunza kwanza. Usiwaze sana kuhusu waliokutangulia, zingatia safari yako. Kila mtu ana muda wake wa kung’aa. Kinachotakiwa kwako ni kuendelea kusonga mbele, hata k**a ni hatua moja kwa siku. Mwisho wa safari, uvumilivu wako utazaa matunda na machozi ya leo yatageuka kuwa tabasamu la kesho.

Nimeongeza mwaka mwingine wa maisha jamani! πŸ₯³πŸŽ‚Kwahiyo kuanzia leo naomba mheshimu umri wangu kidogo πŸ˜‚. Siku hizi hata ni...
11/06/2026

Nimeongeza mwaka mwingine wa maisha jamani! πŸ₯³πŸŽ‚

Kwahiyo kuanzia leo naomba mheshimu umri wangu kidogo πŸ˜‚. Siku hizi hata nikitoa laana inakubali, hivyo muwe makini msinichokoze bure. Mimi nataka amani, furaha na keki tu. πŸ˜ŒπŸ˜‚

Happy Birthday to Me! πŸŽ‰β€οΈ

11.06.2026 πŸŽ‚βœ¨

Leo nimeongeza mwaka mwingine wa maisha, na moyo wangu umejaa shukrani. Safari haikuwa rahisi; nimepitia mengi, nimejifu...
10/06/2026

Leo nimeongeza mwaka mwingine wa maisha, na moyo wangu umejaa shukrani. Safari haikuwa rahisi; nimepitia mengi, nimejifunza mengi, na nimekua zaidi. Kulikuwa na nyakati za furaha na nyakati za changamoto, lakini kwa neema ya Mungu nimevuka yote.

Najivunia nguvu yangu, uvumilivu wangu na hatua zote nilizopiga mpaka leo. Ninamshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai na nafasi ya kuona mwaka mwingine.

Karibu mwaka mpya wa maisha wenye baraka, mafanikio, amani ya moyo na furaha tele.

Happy Birthday to Me! πŸŽ‚πŸ₯³β€οΈβœ¨

11.06.2026 🀍 ‼️

Hadi leo kuna watu wanaidharau Facebook 😜... Wakati mimi mtandao huu umenipa ndugu na marafiki wa maana sana!Ustahimiliv...
07/06/2026

Hadi leo kuna watu wanaidharau Facebook 😜... Wakati mimi mtandao huu umenipa ndugu na marafiki wa maana sana!

Ustahimilivu una kikomo: Punguza marafiki uliojaza list yako ambao hawakusaidii kwa lolote, na uanze kufuatilia (ku-follow) watu wenye tija. Mimi nitakusaidia kukuelekeza nani wa kum-follow na kwa nini!

Welcome, June! ✨ New month, new mindset, and new focus. Nusu ya mwaka ndio hii imefika, na ni wakati sahihi wa kuwasha m...
01/06/2026

Welcome, June! ✨ New month, new mindset, and new focus. Nusu ya mwaka ndio hii imefika, na ni wakati sahihi wa kuwasha moto ule ule tulioanza nao mwezi wa kwanza. Kaza kamba, amini katika uwezo wako, na usiruhusu hofu ikurudishe nyuma. May this month bring us growth, peace, and financial blessings! πŸ“ˆπŸ’°

Address

Ukonga Mombasa
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Qaisam Collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category