05/06/2026
Ijumaa huwa hatuchezi kwenye mapishi ๐ฎโ๐ฅ๐ฅ
Biriani tamu na zurii ni ijumaa hapa Liquid Bar ๐๐ฅ
Harufu tu inakuitaโฆ ladha ndio inakufanya urudi tena ๐
Ukikosa boss birian letu, ๐
Karibu uonje utamu wa biriani halisi ๐ค