Kilimo biashara sasa

Kilimo biashara sasa KILIMO BIASHARA NA SUPER GRO

Kilimo biashara kinawezekana ukitumia mbolea ya Super Gro iliyothibitishwa na mamlaka ya kilimo ndani na nje ya nchi kuw...
28/08/2026

Kilimo biashara kinawezekana ukitumia mbolea ya Super Gro iliyothibitishwa na mamlaka ya kilimo ndani na nje ya nchi kuweza kutatua changamoto zote za mkulima na kurutubisha udongo na mmea kustawi 🙏🏾🥦. Piga/ WhatsApp me 0713550942.
KILIMO NA SUPER GRO

Katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu ya wakulima hakikisha hii ofa haikupiti TZS 155,000/= kwa lita 5,ukichukua dumu...
04/08/2026

Katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu ya wakulima hakikisha hii ofa haikupiti TZS 155,000/= kwa lita 5,ukichukua dumu kuanzia mbili unapata na discount. Piga / WhatsApp me 0713550942
KILIMO NA SUPER GRO

Katika kipindi hiki cha sikukuu ya wakulima ukiwa mkulima au mfanyabiashara unaweza kujiunga na kua mwanachama na kuchuk...
04/08/2026

Katika kipindi hiki cha sikukuu ya wakulima ukiwa mkulima au mfanyabiashara unaweza kujiunga na kua mwanachama na kuchukua dumu za Super Gro kwa bei ya uanachama na kupata faida utapowauzia wakulima.Kwa mawasiliano piga/ WhatsApp 0713550942
KILIMO NA SUPER GRO

Sasa ni kipindi cha ofa ofa kusherehekea sikukuu ya wakulima nane nane. Njoo ujipatie mbolea ya super Gro kwa bei ya TZS...
04/08/2026

Sasa ni kipindi cha ofa ofa kusherehekea sikukuu ya wakulima nane nane. Njoo ujipatie mbolea ya super Gro kwa bei ya TZS 155,0000/= kwa dumu la lita 5 wahi sasa kabla ya 15/08/2026. KILIMO BIASHARA NA SUPER GRO INAWEZEKANA 💪👍
Mawasiliano Piga/ WhatsApp me 0713550942
KILIMO NA SUPER GRO

21/07/2026

Njoo upate mbolea ya Super Gro kwa bei ya offer TZS 150,000/=ukichukua dumu mbili na kuendelea kwa kila moja, mkoa wowote ulipo tutakufikishia . Kwa wakazi wa Dar es salaam usafiri bure. Piga / WhatsApp me 0713550942
KILIMO NA SUPER GRO

19/07/2026
19/07/2026

Mkulima usiendele kuteseka kwa kukosa mavuno mengi na kufanya kilimo biashara. Sasa suluhisho limepatikana kwa bei ya TZS 160,000/= lita 5(inatumika hadi heka 15). Lita 1 kwa TZS 55,000/=(heka hadi3). Mawasiliano ofisi Sinza africasana na Kinondoni B
Piga/ WhatsApp me 0713550942
LIFE STYLE || TRAVELING || BUSINESS EXPERT

21/05/2026

Ni mbolea ya kimimnika iliyotengenezwa na vitu asili yani magome ya miti, mabaki ya mimea na madini. Imetengenezwa kutatua changamoto kuu 4 kwa wakulima:
1. Kupunguza gharama Za kutumia pembejeo
2. Kumsaidia mkulima kupambana na mabadiliko ya tabia nchi( Super Gro haina msimu)
3. Kumsaidia mkulima kuvuna mazao mengi na kua na uhakika na soko la ndani na nje ya nchi( super Gro haina kemikali sumu na mazao pia yanakua salama)
4. Inamlinda mkulima na mazingira yake ( wakati wa kupuliza hakuna sumu itayomletea maradhi k**a kansa ya ngozi, koo, TB na afya kiujumla na mazingira kua salama )

FAIDA ZA SUPER GRO:
1. Inarutubisha udongo/ardhi ( mbolea zingine zinadumisha udongo ndio mana mashamba yanapoteza rutuba)
2. Inasaidia maua yasipukutike.
3. Inafanya kazi k**a stika( inagundisha hata mvua kubwa ikija mmea una stahimili)
4. Inasaidia kuongeza uzito wa mazao na kua bora
5. Inatunza radha halisi kwenye Mazao
6. Inaweka uwiano kwenye mazao na hivyo kuvuna mazao mengi
7. Inaongeza ukijani kwenye mazao
8. Inasaidia kufukuza wadudu shambani
Inazuia ukungu kwenye mazao
9. Inatunza unyevunyevu kwenye ardhi
10. Inasaidia maji yaweze kufika tabaka la 3 na hivyo mizizi ya mmea kufyonza madini na vitamins zilizopo kwenye ardhi.
11. Inaongeza ukijani kwenye mazao
12. Inasaidia kurudisha uhai kwenye mazao
NPK :72gm/45gm/30gm
1cc kwa 1 lita ya maji
16cc kwa 16 lita za maji.
Unapiga awamu mbili hadi 3/4 kutegemea na zao husika. Ukiona maua/mbelewele zinatokea unaacha
-Puluza kuanzia juu ya majani hadi kwenye shina.
MAWASILIANO: Piga/ WhatsApp me 0713550942

10/05/2026

Hadi mikoani tunatuma usiwe na hofu popote ulipo tutakufikishia. Pia unaweza kua wakala wa mbolea hii ya Super Gro kwa mawasiliano Piga/ WhatsApp me 0713550942

Ni mbolea inayoenda kutatua changamoto zote Za mkulima ikiwepo ya kupunguza gharama Za kutumia pembejeo, pia ina rutubis...
07/05/2026

Ni mbolea inayoenda kutatua changamoto zote Za mkulima ikiwepo ya kupunguza gharama Za kutumia pembejeo, pia ina rutubisha udongo na kuruhusu maji yafike hadi tabaka la tatu na mizizi kupenya kufonza madini na vitamins kwenye ardhi ili mmea USTAWI vizuri na kutoa mazao yenye ujazo mkubwa na radha halisi. Inapatikana kwa Lita moja TZS 40,000/= na Lita 5 TZS 160,000:=( dumu mbili na zaidi bei inakua TZS 150,000/= kwa kila dumu). Wahi sasa kabla stock haijaisha . Piga/ WhatsApp me 0713550942

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimo biashara sasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category