Mwanza Crispy Dagaa

Mwanza Crispy Dagaa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwanza Crispy Dagaa, Grocers, 0777861024, Dar es Salaam.

Jipatie dagaa  wazuri  wa kukaanga wa mwanzaKwetu utajipatia dagaa waliondaliwa kwa usafi na ubora wa hali ya juu wanaok...
20/07/2026

Jipatie dagaa wazuri wa kukaanga wa mwanza

Kwetu utajipatia dagaa waliondaliwa kwa usafi na ubora wa hali ya juu wanaokidhi viwango vya soko na mlaji.

Tunahudumia wafanyabiashara wadogo na wakubwa kwa uaminifu mkubwa,na faida unayopata hutajuta kuhudumiwa na sisi.

Tunakuwezesha wewe mfajabiashara mdogo kuanza na kile ulichonacho na kujakikisha unakua kufikia lengo lako.

Tunauza dagaa jumla na rejareja,kwetu mteja ni mfalme,tunafanya delivery na kutuma mikoa yote ndaninya Tanzania

Tunapatikana Ofisi yetu kuu Mwanza na kwa Dar es Salaam tunapatikana katika ofisi zetu za Tabata na kiluvya.

Mawasiliano
Call/WhatsApp 0777861024

Jipatie dagaa wazuri wa kukaanga wa Mwanza..Hapa utapata dagaa wazuri walioandaliwa katika mazingira mazuri na usafi wa ...
14/07/2026

Jipatie dagaa wazuri wa kukaanga wa Mwanza..

Hapa utapata dagaa wazuri walioandaliwa katika mazingira mazuri na usafi wa hali ya juu.

Dagaa wetu wanapatikana katika ujazo wa kilo,sado,ndoo ndogo na ndoo kubwa,tunauza kwa bei ya jumla na rejareja

Tunapatikana katika ofisi zetu za
Sengerema Mwanza
Tabata posa Dar
Kiluvya gogoni Dar

Tunafanya delivery kwa Dar,na mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.

Mawasiliano
call /WhatsApp 0777861024

Jipatie dagaa wazuri,waliondaliwa katika mazingira safi na ubora wa hali ya juu.Tuna dagaa wenye viungo na wasiokuwa na ...
09/07/2026

Jipatie dagaa wazuri,waliondaliwa katika mazingira safi na ubora wa hali ya juu.

Tuna dagaa wenye viungo na wasiokuwa na viungo.

Bei kwa dagaa wa viungo
sado 35000
ndoo ndogo 45000
ndoo kubwa 120000

Dagaa wasio na viungo
Sado 25000
Ndoo ndogo 45000
Ndoo kubwa 70000

Tunauza jumla na rejareja,tunafanya delivery kwa Dar es Salaam na mikoani tunaguma kwa uaminifu mkubwa.

Tunapatikana katika vituo vyetu vya Mwanza,Tabata na kiluvya.

Mawasiliano
Call /WhatsApp 0777861024

Karibu dagaa safi wa mwanza wa kukaanga,wenye ubora wa hali ya juu.Tuna dagaa waliokaangwa na viungo na waliokaangwa kaw...
04/06/2026

Karibu dagaa safi wa mwanza wa kukaanga,wenye ubora wa hali ya juu.

Tuna dagaa waliokaangwa na viungo na waliokaangwa kawaida bila viungo.

Tunauza jumla na rejareja,,tunafanya delivery na mikoani tunatuma.

Bei zetu kwa ujazo dagaa wasio na viungo
sado 25,000
Ndoo ndogo 40,000
Ndoo kubwa 70,000

Dagaa wa viungo
Sado 35,000
Ndoo ndogo 70,000
Ndoo kubwa 120,000

Tunapatika Daresalam,,Tabata/kiluvya
Mawasiliano kawaida /WhatsApp 0777861024

karibuni kwa ladha halisi ya mwanza
20/02/2026

karibuni kwa ladha halisi ya mwanza

Karibuni Mwanza Crispy Dagaa.Dagaa wetu ni wasafi,wazuri na ladha ya kipekeeTunapatikana Dar esalam,tunafanya delivery k...
13/02/2026

Karibuni Mwanza Crispy Dagaa.

Dagaa wetu ni wasafi,wazuri na ladha ya kipekee

Tunapatikana Dar esalam,tunafanya delivery kwa haraka na uaminifu mkubwa,Karibu tukuhudumie

Mawasiliano 0777861024

karibuni Mwanza Crispy  Dagaa,,Dagaa watamu ladha ya kipekee
13/02/2026

karibuni Mwanza Crispy Dagaa,,

Dagaa watamu ladha ya kipekee

13/02/2026

karibuni Mwanza Crispy Dagaa

Tunauza dagaa fresh wazuri, watamu na wenye ladha ya kuvutia,

Bei nafuu,huduma haraka,na tunatoa huduma ya delivery,karibuni sana

Address

0777861024
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanza Crispy Dagaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category