Sango khalfan

Sango khalfan Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sango khalfan, Grocers, Dar es Salaam.

Estate agent
Wauzaji wa viwanja na mshamba Dar es salaam,Dodoma,pwani
Malipo ya kiwanja kidog kidog miez15-20
Sinza makaburini 0658387837&0780838813
Whatsap no:0658387837

22/06/2026
22/06/2026

BEI KITONGA
TSH 5,000 tu kwa SQM moja (1)
Mfano:
SQM 400 (20*20)= TSH 2,000,000 tu ukilipia cash utapata punguzo ya 10% 1,800,000 au unaweza lipia kila mwezi 133,000 kwa muda wa miezi 15.

Lipa kwa awamu hadi miezi 15
Mfumo rahisi na unaomwezesha kila mtu kumiliki ardhi
Hakuna sababu ya kuendelea kupanga wakati unaweza kuanza kujenga urithi wako leo.

22/06/2026

LUGOBA LUGOBA LUGOBA📮📮📮📮sqm moja ni 5000

Miliki Kiwanja Lugoba lipia 133,333/=kila mwezi kwa miezi 15 umiliki kiwanja cha sqm 600 tu 🏠.      Karibu twende site k...
22/06/2026

Miliki Kiwanja Lugoba lipia 133,333/=kila mwezi kwa miezi 15 umiliki kiwanja cha sqm 600 tu 🏠. Karibu twende site kila siku ya jumamosi na nauli ni 12000/=
Wasiliana nasi☎️0799557716

SHAMBANI KIWANGWA BAGAMOYO Jumamosi ya kesho asubuhi •Office zetu zipo Sinza igesa Road• Muda: Saa 08:30 asubuhi• Nauli:...
19/06/2026

SHAMBANI KIWANGWA BAGAMOYO Jumamosi ya kesho asubuhi
•Office zetu zipo Sinza igesa Road
• Muda: Saa 08:30 asubuhi
• Nauli: Utachangia 12,000 tu
• Weka booking yako mapema☎️0799557716

17/06/2026

Eneo ni moja tu Kiwangwa🍍🍍🍍🔥🔥🔥

17/06/2026

Unasubiliaaa nini kuwa nyomi ya watu wanyekiu ya kumiliki Ardhi kiwangwa🫴🫴Twendezetu kiwanga tukatimize kiu ya kumili hekari moja kwa 100,000/=tu ndani ya miezi 20 tu ndugu mteja☎️0799557716

16/06/2026

Mambo ni mazurki K**a ukienda site 🔥🔥Karibuni wawekezaji wote wa maeneo bora yaliyopimwa kwa umiliki halali wa Ardhi ukifika kwetu unapata hekari moja kwa shilling millioni mbili tu na unapata hekari moja kwa laki moja pekeee u nasubilia Nini twende Bagamoyo🍍🍍🍍

16/06/2026

Na kijitiii ndo hikoo kinapatikana Kiwangwa karibu Hekari moja kwa laki moja 100000/= ndani ya miezi 20 tu

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sango khalfan posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category