08/06/2022
Nifaraja sana na furaha kubwa kupata wasaa wa kutembelewa na Mh. , akiwa ni naibu waziri wa na mbunge wa Dodoma mjini. Nifaraja kuona alivyo na shauku kubwa kuona sekta ya kilimo katika kipindi chake, inawanufaisha vijana, kina mama na watoto kwenye suala ziama la ajira, kipato na lishe.