CATO Company limited

CATO Company limited Tunajihusisha na unenepeshaji wa ng'ombe kwa njia bora za kisasa pamoja na uuzaji wa ng'ombe wenye ubora kwa wafanyabiashara, machinjio, na wateja binafsi.

Tunazingatia afya ya mifugo, lishe bora, na huduma ya kuaminika kwa wateja wetu.

04/08/2026
14/07/2026

Follow CATO

09/07/2026

Huyu alie suruhisha mapambano ana sifa ya kenenpeshwa kwani ana mifupa mipana , upana na urefu mzuri, bado umri wake uko ktk Hali nzuri, pia ana sifa ya kulima hekari Moja kwa siku Moja .
Karibu CATO COMPANY LIMITED ujipatie ng'ombe unae mtaka kulingana na matumizi yako.

05/07/2026

Sifa ya ng'ombe wa kunenepesha awe dume

24/06/2026

Huyu ni ng'ombe ambaye hana thamani kabsa akiwa munadani kwa kua ana umri mkubwa na hana sifa ya kunenepa haraka. Ukimununua huyu ng'ombe kwa ajili ya kunenepesha basi hakikisha una mupa muda wa kutosha ili kutoka tkt hali dhoofu mpaka kufikia hali nzuri. Ng'ombe wa namna hii ana sifa ya kununuliwa bei nafuu sana mnadani lakini ana sifa ya kuuza bei kubwa sana yaan hata mara mbili ya fedha uliyo mununulia.

03/06/2026

Kazini tunaomba muda uishe ili tukapumzike au tustafu lakini mtaani wanakimbizana na muda ijapokua vikwazo na hasara k**a hizi ndo nyingi sana.

27/05/2026

Huyu ng'ombe anadhamani ya 2500,000/=. unajua kwa Nini dhamani yake ikojuu? Fatilia page hii ya CATO au fika CATO Campany limited utaona kwa vitendo na kuuliza maswali.

Address

Geita

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CATO Company limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category