Mifugo_Tanzania

Mifugo_Tanzania We Have A solution Concerning Poultry,We Solve Problems Concerning Livestock Keeping .Be part of Us.

29/05/2026

Serious buyer only. MIPANYA NA WENGINE WANAMIMBA

BEEEBA BEBA.

28/05/2026

Mambo vipi wadau. Kuna offer ya madume ya bukini yapo 7 85000

Pia pair zipo kwa tsh 250000

Wadogo poa wapo.

Vifaranga vya kuku tofauti tofauti vipo.

Kibaha maili moja

0743984715

27/05/2026

Bourbon red turkey 🦃

26/05/2026

Chagua kilicho bora

26/05/2026

Faranga tofautì wapo na wengine wanatoka. Yes brahamas . Kuchi,polish,kienyeji ets. Dm jinsi unavyotaka iwe.

26/05/2026

Nikiwakaushia wakikua wanakula mayai na vifaranga. Sasa mie siwatesi ila nawapa kunguru wale . Maana kunguru kuna muda anafaida kwangu. Haujui? Tai akija kunguru wanamdhibiti kwa maana tai mie kanishinda tabia anabeba kuku mzima k**a alivo.

26/05/2026

Skiza vyeti najua unavyo,yapata mwaka wa 6 sasa uelewi. Chukua namba angu apo mpe Baba ako niongee nae maana wewe hatokuelewa ukimwambia ufugaji pia Ajira.

Sasa kataaa halafu uendelee kua na jazba uingie Road wakupige pyupyu

Nb. Ndugu wapo vizuri kwenye michango na maandalizi ya mazishi na si vinginevyo

22/05/2026

Assalam Alykm . JUMAA MUBARAKAH

21/05/2026

Hapo kuna pcs 60 kanga 20pcs brahmas

Mambo yakienda fresh 21 days kutoka sasa jikoni napakua,ata k**a nafua ukinipa kipaza natusua.

Wale wakujichanga muda upo 21 siku timiza malengo yako. Usiumize kichwa ya tajiri moo sio yakoo.,kuamkia amkia watoto wadogo sababu ya uvivu wako.

Address

Kibaha_maili Moja/Pwani
Kibaha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mifugo_Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mifugo_Tanzania:

Share