Akila Farms

Akila Farms Tunajihusisha na Kilimo pamoja na Ufugaji. Karibuni.

Tunalima mazao ya bustani k**a vile Nyanya, Pilipili, Mboga za Majani nk pia tunafuga Kuku wa nyama na Mayai, Mbuzi, Sungura nk.

Kwa nini hii Picha?Juzi tulipata oda ya bamia zetu organic kutoka kwa Daktari wa viungo pale Hospital ya Muhimbili. Faha...
03/03/2025

Kwa nini hii Picha?

Juzi tulipata oda ya bamia zetu organic kutoka kwa Daktari wa viungo pale Hospital ya Muhimbili. Fahamu yaliyomsukuma kuagiza toka kwetu:-
1. Mazao yetu yanazalishwa kwa njia Hai (Organic) bila utumizi wa dawa za viwandani.
2. Tunajali utu, muda na uchumi wa kila alietuzunguka.

Sisi ni Akila Kilimo Hai, tunapatikana Kimanzichana Pwani na Kibada Dar Es Salaam.

Karibu sana kwa mahitaji ya chakula kisicho na SUMU.

Address

Kimanzichana, Pwani
Mkuranga
61501

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Akila Farms posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category