Roby

Roby Kwa Kuku wa kienyeji, radha kamili mezani kwako!

09/04/2026

Nilikuwa naweka mayai… naacha kuku aatamie.

Kwa nje kila kitu kilionekana sawa.
Kuku yupo. Mayai yapo. Muda unaenda.

Nilikuwa na uhakika—
siku ya 21 nitakuwa na vifaranga wengi sana.

Lakini kilichotokea…
kiliniumiza kimya kimya.

Vifaranga wachache sana.
Mengine matupu.

Nikajaribu tena.
Matokeo yale yale.

Mpaka siku moja nikajiuliza swali ambalo wafugaji wengi hukwepa:
“Inawezekana tatizo sio kuku… bali mfumo?”

Hapo ndipo nilipogundua kitu kilichobadilisha kila kitu—

kuatamia sio mfumo, ni kubahatisha.

Kuku hawezi kudhibiti:
– Joto kwa usahihi
– Unyevu kwa consistency
– Hewa kwa kiwango kinachotakiwa

Na makosa haya madogo…
yanaua mayai yako kimya kimya.

Hakuna ishara.
Hakuna onyo.

Mpaka siku ya kufungua—
ndipo unagundua umechelewa.

matokeo yanabadilika.

K**a ungependa kuacha kubahatisha na kuelewa
jinsi ya kudhibiti mchakato wa kuangua hatua kwa hatua—

niandikie "mfumo" WhatsApp 0769 546 598

Nikuelekeze mfumo rahisi unaotumika na
Ndiyo maana wengine wanapata vifaranga 5…
wakati walitegemea 30+.

Sio bahati.
Ni mfumo.

Na ukibadilisha mfumo wafugaji wanaopata matokeo ya uhakika.

Shamba lako si dogo. Fikira yako ndiyo ndogo.Unazalisha vifaranga — lakini unauza k**a mtu anayeomba huruma.Una kuku 100...
08/04/2026

Shamba lako si dogo. Fikira yako ndiyo ndogo.

Unazalisha vifaranga — lakini unauza k**a mtu anayeomba huruma.

Una kuku 100— lakini unazungumza k**a mtu anaefuga nyuma ya nyumba.

Una uwezo — lakini unajificha nyuma ya nambari ndogo.

Nakuambia ukweli ambao hakuna anayethubutu kukuambia asee...

Tatizo lako si mtaji.
Tatizo lako si ardhi.
Tatizo lako si kuku.

Ni jinsi unavyojiona mwenyewe.

Mfugaji anayejiona mdogo —
atauza k**a mdogo.

Atazungumza k**a mdogo.

Na soko litamtendea k**a mdogo.

Lakini mfugaji mwenye mfumo...

mwenye ujasiri —

mwenye direction —

Soko linamheshimu.

Wanunuzi wanamtafuta.

Faida inakuja yenyewe.

Ndiyo maana ninakufundisha kitu kimoja tu —
Usijenge shamba kubwa kwanza.

Jijenge wewe kwanza.

Jua kuzalisha vifaranga kwa mfumo.

Jua kuhesabu faida yako halisi.

Jua kuwasiliana na soko kwa ujasiri.

Hapo ndipo kila kitu kingine kinakuja. 🐣

K**a bado unatafuta njia na namna ya kuanza au unachangamoto—Karibu tufuge kwa hesabu.

P.S.S. K**a Ungependa leo kujifunza kuhusu azolla, ili upunguze gharama za chakula—Nitumie ujumbe WhatsApp 0769 546 598. Tutaongea na kushauriana ili tufanikiwa pamoja.

Rafiki yako

Msukuma Farm

01/04/2026

25/03/2026

Kila mfugaji anataka vifaranga wengi.
Lakini wengi bado wanangoja… kuku akae, atage, atatamia.

Siku moja nikajiuliza,
“Kwa nini nisisimamie uzalishaji wangu mwenyewe?”

Sikuhitaji mashine kubwa.
Nilianza na vitu vya kawaida kabisa—
mbao, ndoo, hata beseni.

Ndipo nikagundua…
sio vifaa vinazuia watu kuzalisha,
ni kukosa mwongozo sahihi.

Ndiyo maana nimeandaa ebook rahisi kabisa
inakuelekeza hatua kwa hatua:

• Jinsi ya kutengeneza incubator nyumbani
• Vifaa vya bei nafuu (na wapi pa kuvipata)
• Namna ya ku-manage hadi upate vifaranga

Na zaidi ya hapo…

Utapata pia:
✔️ Ushauri wa moja kwa moja
✔️ Chimbo la vifaa vya gharama nafuu
✔️ Usimamizi wa siku 30 hadi uone matokeo

Thamani ya package yote ni Tsh 35,000/=

Lakini kwa leo tu…
utapata kila kitu kwa Tsh 11,500 tu.

Kesho itarudi bei ya kawaida.

Hii sio kwa kila mtu.
Ni kwa mfugaji ambaye ameona kusubiri hakumlipi tena.

Tuma Neno "Incubator" WhatsApp sasa hivi 0769 546 598
nikupe ebook + maelekezo ya kuanza.

Hadi sasa

Una machaguo mawili tu: Uendelee kuwa mfugaji wa mazoea au uanze kufuga kwa faida na matokeo!

Msukuma Farm
Mlandizi, Kibaha.

Uamuzi ni wako.

#

Address

Mlandizi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Roby posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category