jucro27

jucro27 music #

maarifa na akili
25/07/2026

maarifa na akili

KWANINI MABASI NA MALORI MAKUBWA YANATUMIA BREKI ZA UPEPO (AIR BRAKES) BADALA YA MAFUTA K**A MAGARI MADOGO? 🚛🚌Ushawahi k...
25/07/2026

KWANINI MABASI NA MALORI MAKUBWA YANATUMIA BREKI ZA UPEPO (AIR BRAKES) BADALA YA MAFUTA K**A MAGARI MADOGO? 🚛🚌
Ushawahi kujiuliza kwanini magari madogo (k**a Noah, Vitz au Ist) yanatumia mafuta ya breki (hydraulic brakes), lakini ukifika kwenye mabasi ya abiria na malori makubwa unasikia sauti za upepo zikitoka (pssshhhh...) pindi dereva anapokanyaga au kuachia breki?
Je, unadhani mfumo wa mafuta hauna nguvu ya kutosha kusimamisha tani zaidi ya 30, au kuna siri kubwa ya kiusalama ambayo upepo unaweza kufanya lakini mafuta hayawezi?
K**a mfumo wa upepo ukivuja katikati ya safari, gari litakosa breki au ndio litasimama hapo hapo?
👉 Wataalamu wa mekanika, madereva wa malori na mabasi... Tuelezeni siri ya breki hizi za upepo kwenye comments by $ juklo27

juklo27
25/07/2026

juklo27

unaelewa je  kuhusu tariffby@ juklo27
25/07/2026

unaelewa je kuhusu tariff
by@ juklo27

tujuzane kidogo
25/07/2026

tujuzane kidogo

25/07/2026

Address

Morogoro
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when jucro27 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category