Sam Food

Sam Food Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sam Food, Food Delivery Service, Mwanza.

Lipia oda yako chap
27/08/2026

Lipia oda yako chap

Watu wa Dar naombeni mnisaidiee nataka nianzishe mgahawa wa supu ya samaki tu ni wapi panaweza kunifaa fikiria ndioo naa...
27/08/2026

Watu wa Dar naombeni mnisaidiee nataka nianzishe mgahawa wa supu ya samaki tu ni wapi panaweza kunifaa fikiria ndioo naanza mtaji ni mdogo ukiona hili tangazo naomba tafadhali tushirikiane mawasiliano 0786 226 392

Dar pagumu naombeni nauli nirudi nyumbani nisije nikawa mweu pls ndugu wamegoma kuja kunisaidiaaa...
26/08/2026

Dar pagumu naombeni nauli nirudi nyumbani nisije nikawa mweu pls ndugu wamegoma kuja kunisaidiaaa...

Samaki wamefika wapo Goba center mkabala na kituo cha polisi DAR hapa nakwambiaa ni watamu sanaa wahi kabla hawajaisha m...
26/08/2026

Samaki wamefika wapo Goba center mkabala na kituo cha polisi DAR hapa nakwambiaa ni watamu sanaa wahi kabla hawajaisha mmoja 5000 tu njoo uchukue wa kula usiku leo mawasiliano 0786226392

K**a unahitaji samaki fresh yaani sangara wa kubanikwa wakubwa watamu wapo GOBA mpigiee 0766251342 anauza 20,000 kwa mmo...
26/08/2026

K**a unahitaji samaki fresh yaani sangara wa kubanikwa wakubwa watamu wapo GOBA mpigiee 0766251342 anauza 20,000 kwa mmoja fika dukani uchukue mali epuka matapeli samaki wataingia 11jioni. Nimeshakusanua mapema.

Hapa Mbezi shule barabara ya kwenda Goba ushindwe kula kweli sato  fresh wa 5,000 wa kutoka Mwanza hata k**a ni mdogo la...
25/08/2026

Hapa Mbezi shule barabara ya kwenda Goba ushindwe kula kweli sato fresh wa 5,000 wa kutoka Mwanza hata k**a ni mdogo lazima kila mtu aonje angalau hata mkia😂😂 nimekuja Dar nakuomba nisirudi Mwanza na deni na mtu mawasiliano 0786 226 392

25/08/2026

WATEJA WANGU WA FACEBOOK NIPO MWENYEWE SISHIRIKIANI NA MTU KWENYE BIASHARA NAKUSIHI EPUKA MATAPELI.

Kesho jumatano nitakuwa nao hapa Mbezi sato mmoja 5,000 tu weka oda k**a unataka sifanyi delivery mteja njoo mwenyewe uc...
25/08/2026

Kesho jumatano nitakuwa nao hapa Mbezi sato mmoja 5,000 tu weka oda k**a unataka sifanyi delivery mteja njoo mwenyewe uchukuee.. samaki ni fresh
Mawasiliano 0786 226 392

Kuna siku nilipost hii post watu walinitukana sana lkn nilijua changamoto iko wapi ni sababu wengi hawajawahi kutembelea...
24/08/2026

Kuna siku nilipost hii post watu walinitukana sana lkn nilijua changamoto iko wapi ni sababu wengi hawajawahi kutembelea machimbo yote ya samaki maana niliwambia kuwa sato k**a.hawa wanakatwa vipande vitatu ambapo bei yake ni 7000 na box linakuwana na vipande 21 jumla inakuwa 49,000 nje na usafiri
Nipigiee 0786226392

Link ya group hii hapa jiunge https://chat.whatsapp.com/KnY1fDpBUtXEVEMl4d5uIv?s=cl&p=a&mlu=0&ilr=0

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sam Food posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share