Godfrey Wholesale & Retail Shop

Godfrey Wholesale & Retail Shop wauzaji wa jumla na reja wa vyakula na mahitaji ya nyumbani

05/12/2025

Ni vitatu ulikuwa ufahamu ila unavijua sasa ivi hongera sana

Usilo lijua kuhusu izo sabuni hapo juu๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†Nzuri na hulainisha ngozi una machaguzi kwa kuchagua upendayo kwa kuwa ziko nyin...
22/11/2025

Usilo lijua kuhusu izo sabuni hapo juu๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

Nzuri na hulainisha ngozi una machaguzi kwa kuchagua upendayo kwa kuwa ziko nyingi mno ..

Ngozi nzuri huanzia bafuni ๐Ÿซก

MKATE WAKO UNAULAJE?? ๐Ÿ‘‡Furahia na ZESTA JAM hizi kwasababu inakuongezea vitamin C fikiria unaenjoy na kuongeza kinga za ...
14/08/2025

MKATE WAKO UNAULAJE?? ๐Ÿ‘‡

Furahia na ZESTA JAM hizi kwasababu inakuongezea vitamin C fikiria unaenjoy na kuongeza kinga za mwili.

Dukani kwetu utazipata kwa jumla na reja reja 5,500/=

Chakufanya click link ๐Ÿ”— kwenye BIO yangu hapo itakuleta WHATSAPP au inbox me hapa INSTAGRAM utapata utaratibu wote..

KARIBU SANA

โค๏ธ๐Ÿ’žโค๏ธ

GREEN TEA MAJANI YAJUE NA UNUFAIKE NAYO ๐Ÿ‘‡๐Ÿ“Œ๐Ÿ”ฅInaongeza uwezo wa kufikiri yaani inachangamsha ubongo๐Ÿ”ฅInapunguza uzito k**a ...
13/08/2025

GREEN TEA MAJANI YAJUE NA UNUFAIKE NAYO ๐Ÿ‘‡๐Ÿ“Œ

๐Ÿ”ฅInaongeza uwezo wa kufikiri yaani inachangamsha ubongo
๐Ÿ”ฅInapunguza uzito k**a utajituma na kufanya mazoezi kiasi
๐Ÿ”ฅInaboresha na kunawirisha ngozi yako
๐Ÿ”ฅIna imarisha kinga za mwili kuzifanya kuwa na nguvu maradufu.

Ili kuipata na kunufaika nayo click link yangu itakuleta WhatsApp moja kwa moja na utapata utaratibu wote au unaweza kunitext hapa hapa INSTAGRAM
KARIBU SANA ๐Ÿ™

JUA LEO HII, TUMIA SAIVI, FURAHI MUDA WOTE NA HUMAN CHERISH PADS (HC)๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Hautakuwa na miwasho kwasababu yenyewe itafyonza ...
12/08/2025

JUA LEO HII, TUMIA SAIVI, FURAHI MUDA WOTE NA HUMAN CHERISH PADS (HC)๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Hautakuwa na miwasho kwasababu yenyewe itafyonza unyevu wote na kuwa mkavu muda wote ndani ya masaa 10

Haivujishi ili kukupa amani ya moyo katika kipindi cha hedhi chote mdada mrembo

Ina mbawa na gundi kali ambayo inashikilia vizuri chupi ๐Ÿ™ˆ

Zinapatikana dukani kwetu kwa jumla na reja reja
Reja reja ni 3,500/= tu..

Ili kuipata click link kwenye bio yangu itakuleta WhatsApp moja kwa moja na utapata utaratibu au nitext hapa hap Instagram pia utapata utaratibu wote.

Karibu sana ๐Ÿ™


โค๏ธ๐Ÿ’žโค๏ธ

USIWE MNYONGE NA CHAI YA ASUBUHI JIPENDE THAMINI FAMILIA YAKO ๐Ÿ™ˆKamilisha break fast yako ukiwa na hii ๐Ÿ‘†๐Ÿ‘† drinking chocol...
01/07/2025

USIWE MNYONGE NA CHAI YA ASUBUHI JIPENDE THAMINI FAMILIA YAKO ๐Ÿ™ˆ

Kamilisha break fast yako ukiwa na hii ๐Ÿ‘†๐Ÿ‘† drinking chocolate

Furaha yenu ni muhimu sana kwetu unapotumia hii utaenjoy sana wewe pamoja na familia yako katiko mlo wenu wa asubuhi.

Kijana simama imara jipende na kujithamini chukua hii furahia maisha yako na cadbury drinking chocolate ๐Ÿ˜‹

Zinapatikana kwa jumla na reja reja kwa size aina tatu tu..
1. Ndogo 50gm 6,000/=
2. Size ya kati 125gm 9,500/=
3. Kubwa 225gm 16,000/=

Wale wa jumla karibu inbox kwa kuclick WhatsApp link yangu iliyoko kwenye bio yangu juu kabisa kwenye profile..

Asante ๐Ÿ™ karibu sana

UTANUSURIKA NA HAYA UKITUMIA HII COWBELL MAZIWA ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Maziwa ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku ๐Ÿฅ› Yanaondoa sumu...
25/06/2025

UTANUSURIKA NA HAYA UKITUMIA HII COWBELL MAZIWA ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Maziwa ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku ๐Ÿฅ›
Yanaondoa sumu mwilini mwwtu kutokana na shughuli tunazofanya kila siku
Warembo unapotumia maziwa kila s**i basi ngozi yako itakuwa yenye mng'ao na kuvutia wakati wote so clean
Yana vitamin D na calcium kwa afya ya mifupa yako.

Zipo dukani kwetu Jumla na reja reja na pia unaweza ku order online kwa kuclick link yangu ya WhatsApp kwenye bio yangu juu kabsa kwenye profile kujipatia offer yako.

Kwa saaa utapata one pisi kwa 8,000/=

Asante ๐Ÿ™ karibu mno

Je Umekuwa umekuwa ukihangaika kupata crips tamu kuliko zote na za kipekee ? Hizi ni sample tu chache ila zipo aina nyin...
24/06/2025

Je Umekuwa umekuwa ukihangaika kupata crips tamu kuliko zote na za kipekee ?

Hizi ni sample tu chache ila zipo aina nyingi na ladha tofauti tofauti..

Hizi PRINGLES crips zimeandaliwa na viazi ulaya halisi na kuongezewa ladha ili kupata utofauti wa ladha makini sana ๐Ÿ˜‹
Hazina mafuta mengi ili usikereke na yenyewe
Ukiwa na safari pata burudani ukiwa na PRINGLES ili usile ovyo ovyo na kuumwa bure โค๏ธ

Zipo dukani kwetu kwa JUMLA NA REJA REJA pia unaweza ku order online kwa ku click link yangu ya WhatsApp kwenye bio yangu juu kwenye profile yangu kujipatia offer yako.
Kwa sasa utaipata kwa 7,000/= tu pisi moja

Karibuni sana ๐Ÿ™ Asante .

MTOTO KUSUMBUA KULA SASA KWISHA HABARI YAKE ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘‡Mtoto wako atakuwa na afya nzuri na lishe kamili akitumia hii NADOLAC  Kwa...
23/06/2025

MTOTO KUSUMBUA KULA SASA KWISHA HABARI YAKE ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘‡

Mtoto wako atakuwa na afya nzuri na lishe kamili akitumia hii NADOLAC
Kwasababu ina virutubisho lishe ambavyo ni ndizi na ngano kumfanya mtoto kuwa mchangamfu muda wote akiitumia NADOLAC
Hata k**a apendi kula hii NADOLAC hawezi acha kula ni furaha ya kila mtoto apendwae na wazazi wake ima walezi wake ๐Ÿฉท

Utajipatia dukani kwetu click link ya WhatsApp kwenye BIO yangu kwenye profile ili kujipatia OFFER yako kwa sasa ni 17,000/= @ 1pc JUMLA PIA ZIPO

ASANTE ๐Ÿ™ KARIBU SANA

NESCAFE NESCAFE GOLD NESCAFE GOLD 200GMHii kahawa ni nyeusi na bora sana kwa miili yetu binadamu kwasababu ina faida nyi...
20/06/2025

NESCAFE NESCAFE GOLD

NESCAFE GOLD 200GM
Hii kahawa ni nyeusi na bora sana kwa miili yetu binadamu kwasababu ina faida nyingi sana
1. Kahawa ya NESCAFE huchangamsha akili yako yaani kuwa active mda wote.
2. Kahawa ya NESCAFE hufanya msukumo wa damu mwilini kuwa sawa wakati wote.
3. Kahawa ya NESCAFE hupunguza msongo wa mawazoโ˜บ๏ธ yaani kuwa huru katika mawazo
4. Kahawa ya NESCAFE huongeza uwezo wa kuweka kumbukumbu yaani kukumbuka ata vitu vya kale yaani story ulizohadisiwa na bibi au babu yako.
5. Kahawa ya NESCAFE husaidia kupunguza uzito wa mwili kuwa mwepesi na kuepukan na magonjwa ya unene ๐Ÿ’ฏ

Utajipatia kwa jumla na reja reja utajipatia NESCAFE ORIGINAL kwa 17,000/= na NESCAFE GOLD Kwa 27,000/= pekeee .


ZINAPATIKANA HOME OF SWEETNESS001

KARIBUNI SANA ๐Ÿฅฐ

BADO UNAPOTEZA MUDA WAKO KUPIKA UJI ๐Ÿฅน๐Ÿ‘‡Usihangaike tena kupoteza muda wako jikoni kwa kupika uji bali tumia muda wako kuf...
19/06/2025

BADO UNAPOTEZA MUDA WAKO KUPIKA UJI ๐Ÿฅน๐Ÿ‘‡

Usihangaike tena kupoteza muda wako jikoni kwa kupika uji bali tumia muda wako kufanya mambo mengine ukiwa na UJI FASTA

Uji huu { UJI FASTA } uko tayari kwa ajili ya kutumia kwa kuweka maji ya moto au maziwa kwenye kikombe chako na kuweka unga huu wa uji wa UJI FASTA na utaamua wewe uwe mzito au mwepesi ni wewe unapenda upi..

Unavirutubisho kamili na unafaa watoto kuanzia miezi sita na kuendelea hadi watu wazima unatumia.

Leo hii upo dukani kwetu kwa shilingi 14,000/= tu kopo kubwa.

Click link yangu ya WHATSAPP kwenye BIO yangu hapo juu ๐Ÿ‘†๐Ÿ‘† kwenye profile yangu ujipatie offer yako..

KARIBU SANA ๐Ÿ™ ASANTE

Address

P. 0. BOX 33
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Godfrey Wholesale & Retail Shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share