Hamidati "Mpira live"

Hamidati "Mpira live" Mpira Pesa

Mathew Tegisi πŸ‡°πŸ‡ͺ amefungiwa mechi tatu na faini ya Tshs Milioni tano.
22/08/2026

Mathew Tegisi πŸ‡°πŸ‡ͺ amefungiwa mechi tatu na faini ya Tshs Milioni tano.

UBAYA UBWELA SEASON 3 βšͺπŸ”΄πŸ¦Simba SC leo tunashuka dimbani kuendeleza safari yetu ya ushindi katika NBC Premier League, tuk...
22/08/2026

UBAYA UBWELA SEASON 3 βšͺπŸ”΄πŸ¦

Simba SC leo tunashuka dimbani kuendeleza safari yetu ya ushindi katika NBC Premier League, tukikabiliana na Singida Black StarsπŸ†

πŸ“ Uwanja wa Airtel, Singida
⏰ Saa 12:00 jioni

🚨 ALETE PESA πŸ˜‚Klabu ya Simba Sports Club 🦁 kutoka nchini Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ inamdai mchezaji Selemani Mwalimu awarudishie ghara...
22/08/2026

🚨 ALETE PESA πŸ˜‚

Klabu ya Simba Sports Club 🦁 kutoka nchini Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ inamdai mchezaji Selemani Mwalimu awarudishie gharama alizotunia wakati amelaghai kuwa atacheza klabuni kwao.

Simba wanamtaka Selemani awalipe:

*Gharama za nauli ya ndege kutoka Morocco mpaka Zanzibar.

*Gharama za malazi kabla na baada ya safari.

*gharama ya chakula alichokula Kwa kipindi chote Cha mchakato wa kujiunga na klabu Yao.

Follow us,

21/08/2026

✍️ JUST IN ~ Kwa mujibu wa Ahmed Ally, Selamani Mwalimu alitoroka kambini akiwa Simba SC.
-
βœοΈπ——π—”π—₯ π—˜π—¦ π—¦π—”π—Ÿπ—”π—”π—  π—™π—œπ—‘π—˜π—¦π—§ & 𝗣π—₯π—œπ—‘π—§π—˜π—— π—™π—œπ—‘π—šπ—˜π—₯𝗦

πŸ‡ΊπŸ‡¬ ALLAN OKELLO ATAMBULISHWA ASFAR! πŸ‡²πŸ‡¦πŸ”₯Nyota wa zamani wa Yanga SC, Allan Okello, ametambulishwa rasmi leo ndani ya kiko...
21/08/2026

πŸ‡ΊπŸ‡¬ ALLAN OKELLO ATAMBULISHWA ASFAR! πŸ‡²πŸ‡¦πŸ”₯

Nyota wa zamani wa Yanga SC, Allan Okello, ametambulishwa rasmi leo ndani ya kikosi cha AS FAR Rabat ya Morocco. πŸ‡²πŸ‡¦βœοΈ

Okello anaanza ukurasa mpya wa maisha yake ya soka nchini Morocco baada ya kuondoka Yanga SC.

Safari mpya, changamoto mpya! πŸ”₯⚽

UPDATES πŸ—žοΈ : Aishi Manula ameweka rekodi ya kuwa golikipa wa kwanza kupata kadi nyekundu kwenye mechi za ligi kuu NBC ik...
21/08/2026

UPDATES πŸ—žοΈ : Aishi Manula ameweka rekodi ya kuwa golikipa wa kwanza kupata kadi nyekundu kwenye mechi za ligi kuu NBC ikiwa kwenye mzunguko wa pili tu,

Manula ameoneshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kufanya madhambi nje ya eneo la hatari la goli lake na kuhesabika alikuwa mchezaji wa mwisho na alizuia uwezekano wa kufunga goli kwa mpinzani.

Anthony Mligo akielezea namna wachezaji wamejiandaa kuwakabili Singida Black Stars.Kusoma taarifa zaidi ingia Simba App....
21/08/2026

Anthony Mligo akielezea namna wachezaji wamejiandaa kuwakabili Singida Black Stars.

Kusoma taarifa zaidi ingia Simba App.

Mabibi na Mabwana .. Kwa heshima na Unyeyekevu Mkubwa naomba Kumtambulisha kwenu  Housseine Zakouani .. 𝐖𝐇𝐀𝐓 𝐀 ππ‹π€π˜π„π‘ 🫑M...
21/08/2026

Mabibi na Mabwana .. Kwa heshima na Unyeyekevu Mkubwa naomba Kumtambulisha kwenu Housseine Zakouani ..

𝐖𝐇𝐀𝐓 𝐀 ππ‹π€π˜π„π‘ 🫑

Mwaga Moto mwingi sana KwakeeeπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

KWENYE MFUMO SELE GOMEZ UNASOMA NI MALI YA YANGAA ..HAKUWA MCHEZAJI WA SIMBA HII NI MALI WYDAD ..OGOPENI UTAPELI
21/08/2026

KWENYE MFUMO SELE GOMEZ UNASOMA NI MALI YA YANGAA ..HAKUWA MCHEZAJI WA SIMBA HII NI MALI WYDAD ..OGOPENI UTAPELI

πŸ—£οΈ FULL TIME !βŒ› Young Africans πŸ’-𝟏 Coastal Union➨ 1st Half : 2-0 | 2nd Half : 2-1β›³9-1   🟨1-0   πŸŸ₯0-1   🎯15-2 πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
20/08/2026

πŸ—£οΈ FULL TIME !
βŒ› Young Africans πŸ’-𝟏 Coastal Union
➨ 1st Half : 2-0 | 2nd Half : 2-1
β›³9-1 🟨1-0 πŸŸ₯0-1 🎯15-2
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Address

157 MWANZA
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hamidati "Mpira live" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hamidati "Mpira live":

Shortcuts

Share