Kweli ya Biblia

Kweli ya Biblia Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kweli ya Biblia, Grocers, Mwanza.

23/12/2025

Kula na ushibe mezani pa Bwana

23/12/2025

shiba mezani kwa Bwana

Matendo ya Mitume 1:8[8]Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu ...
13/12/2025

Matendo ya Mitume 1:8
[8]Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.

Roho mtakatifu anakuja kwa Yule aliye tayari kumtumikia Mungu. K**a hauko tayari kuihubiri Injili basi Roho mtakatifu utamsikia Tu kwa wengine na utaona k**a wanaigiza maana Yeye Roho huja kukutia nguvu ili ushuhudie. Hilo Tu.

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kweli ya Biblia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category