Patisserie_tz

Patisserie_tz We bake all types of cakes, For all types of events

27/08/2026

That cake will keep its moist and make it very very soft fluffy and fresh

How do you keep your cakes moist?

23/08/2026

Hakuna cake nzuri bila kipimo sahihi, yani utajidanganya.

Most of us tunajikuta tunaweka chombo tunasahau kuweka tare (zero) kisha tunaweka ingredients 🛑 ❌ k**a unahitaji gram 200 na chombo kina 50 ukasahahu kutare basi utajikuta unapima 150 kujua ni 200 ingredients kumbe hio ni ingredients + chombo

Hacks, explore, baking, cakes, business, content

20/08/2026

Unahisi ni kitu gani ningeweza kufanya kabla sijaoka huwenda ningeokoa cake zangu?

Cake imetoka
*Too oily
*Very soft
*Katikat ilikua moist zaid kuiva imeiva ila sijui ndio oil iligandia apo😂

Nasoma coments

18/08/2026

Beginners mupo? Nimesahau kipi hapo bakers?

Tool, baking, fyp, business

13/08/2026

Ukifanikiwa kupata unayoupenda , ipe jina lako ambalo wateja wako wakija kuulizia hio cake unajua wanazungumiza nini🤌🏾🤏🏾🔥🔥

Yani kompotitaz wataonja alafu watazunguka maduka yote ya vifaa vya cake hawatapata flavour yako. Be unique, be creative, find your signature taste..

Dm flavour for more flavour combo ideas

10/08/2026

Huondoa mabonge kwenye unga.
Huingiza hewa kwenye unga, hivyo keki huwa nyepesi na laini. Husaidia baking powder na viungo vingine kusambaa sawasawa.
Hutoa mchanganyiko laini unaorahisisha kuchanganya batter.
Huchangia kupata texture nzuri na keki inayooka sawasawa.

all in all Usiruke hatua ya kuchekecha unga. Ni hatua ndogo yenye mchango mkubwa katika kupata keki bora.

05/08/2026

Hata sielewi 🤣🤣 but thinking about it, me napenda kudecorate usiku coz watoto wangu wanakuaa wamelala siskiikii maamaaa mamaaa naconcetrate😄😄

02/08/2026

Kuna watu wanahofu eti ukikausha vizur mkate utakua mgumu.. hapana mkate kuwa mgumu ni ukandaji wako na recipe haihusian na kuuoka hata kidogo.

Make sure unaukausha vizur then ukitoa weka kwneye rack upoe hata masaa 6 naa kisha ukate na uweke kwenye mfuko. K**a recipe yako ni nzur mkate utakua soft kuliko maisha yako

Hope this is helpful ❤️

01/08/2026
31/07/2026

Utaamua wewe uendelee kununua mkate 4000 au upike hii

Bread Recipe in grams
- Unga 1500
- Fleva 6
- Amira 18
- Siag 150
- Chumv 9
- Sukar 150
- Water 840

Weka unga , chumvi na amira changanya
Mimina ingridients zote zilizobaki kisha chanyanga
Kimina maji kidogo kidogo huku unachnganya, unaweza hisi maji ni mengi unga umezidisha but trust the process.

Kwenye tin, weka donge la 900g (hio ndio one big loaf) apa utapata 2 big loafs each 900g and 5 scones ambazo eaach ni 100g zipange kwnye tin ya 8”

Bake for 20-30min 180 moto juu na chini

Address

Tema, Stand Ya Isamilo
Nyegezi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Patisserie_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Patisserie_tz:

Shortcuts

Share

Category