Soko Mtaani Tz

Soko Mtaani Tz Tunakuletea Bidhaa zote πŸ—πŸ’πŸ₯¦πŸŠπŸ₯πŸŒπŸπŸ“πŸŽπŸŸunazohitaji Jikoni Kwako. Pakua App Playstore.&Appstore.

Eid Al Adha Mubarak
27/05/2026

Eid Al Adha Mubarak

Ukifanya ma nunuzi na soko mtaani siku ya tarehe 26 & 27 utapata nafasi yakufanyiwa deliver bure kabisa mpaka nyumbani k...
25/05/2026

Ukifanya ma nunuzi na soko mtaani siku ya tarehe 26 & 27 utapata nafasi yakufanyiwa deliver bure kabisa mpaka nyumbani kwako.
Fanya manunuzi nasi sasa

19/05/2026

Tunawakaribisha wafanyabiashara wote wanao toa huduma ya Delivery na huduma zote za kuweza kuwafikia wateja kwa njia ya kidijitali.
Soko mtaani inakupa furasa ya kutumia Application kuweza kufikia wateja wako.

Tuma maombi yako kupitia mfumo ndani ya Application au kupitia barua pepe [email protected]

16/05/2026

Usiwaze tena kuhusu kufanya manunuzi ya bidhaa za sokoni Sokomtaani tupo katika simu ya kiganjani kwako weka Oder nasi ufurahie huduma bora ya manunuzi ya vituvya jikoni

15/05/2026
TUAGIZE TUKULETEE πŸˆπŸ“πŸžπŸŠπŸπŸŸπŸŒπŸ§…πŸ₯”πŸ«’πŸ₯πŸ—πŸŒπŸ…πŸŽπŸ«šπŸ₯¦πŸ’πŸMPAKA MLANGONI KWAKO.Pakua App yetu ya SOKO MTAANI Playstore na Appstore Kisha weka...
15/05/2026

TUAGIZE TUKULETEE πŸˆπŸ“πŸžπŸŠπŸπŸŸπŸŒπŸ§…πŸ₯”πŸ«’πŸ₯πŸ—πŸŒπŸ…πŸŽπŸ«šπŸ₯¦πŸ’πŸMPAKA MLANGONI KWAKO.

Pakua App yetu ya SOKO MTAANI Playstore na Appstore Kisha weka Oda ya Mahitaji Yako ya Jikoni Kwako...............................................................

☎️Waweza Tupigia Simu na kuweka Oda Yako katika namba yetu +255676368571.................................................................
Ingia katika site yetu na uweke oda ya Mahitaji ya Nyumbani Kwako Tukuletee kilichobora mpaka Mlangoni Kwako.

🌐www.shop.sokomtaani.co.tz...............................................................
πŸ“Tunapatikana Ofisi yetu Kwerekwe Sokoni, Chikai Building.

14/05/2026

Muda wako niwathamani pale unapo chukuwa uamuzi wa kufanya manunuzi yako ya jikoni na soko mtaani Application.
Download sasa kupitia. Play store na App Store na uweze kufurahia huduma zetu.

Fresh kutoka shambani hadi mezani kwako! Pata mboga na matunda ya organic yaliyo safi, yenye ubora na salama kwa afya ya...
13/05/2026

Fresh kutoka shambani hadi mezani kwako!
Pata mboga na matunda ya organic yaliyo safi, yenye ubora na salama kwa afya yako kupitia Soko Mtaani.

βœ… Super Fresh
βœ… Fertilizers Free
βœ… Delivery ya haraka mpaka ulipo

Nunua bidhaa zako za jikoni kwa urahisi kupitia App yetu πŸ“²

Zanzibar DeliveryService ShopSmart

08/05/2026

Furaha ya mteja ndio kipaumbele chetu cha kwanza.
Fanya manunuzi na soko mtaani sasa ili ueokoe muda wako na kupunguza usumbufu jnao kutana nao kwenda kufanya manunuzi sokoni.

Heri ya siku ya wafanyakazi dunia.
01/05/2026

Heri ya siku ya wafanyakazi dunia.

Address

Chikai Mall, Mwanakwerekwe
Zanzibar
347289

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soko Mtaani Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share