MS Agricultural Services

MS Agricultural Services MS Agricultural Services
Smart farming � | Fresh from field to home & hotels
� Zanzibar

MS AGRICULTURAL SERVICES Ni taasisi inayolenga kuwa kiungo muhimu katika kuwawezesha vijana, wakulima na jamii kwa ujuml...
20/11/2025

MS AGRICULTURAL SERVICES
Ni taasisi inayolenga kuwa kiungo muhimu katika kuwawezesha vijana, wakulima na jamii kwa ujumla katika sekta ya kilimo na ufugaji. Tunatoa huduma za kitaalamu, zenye kuendana na sayansi, teknolojia na ubunifu ili kuongeza tija na kuleta mabadiliko chanya katika uzalishaji.

Huduma Kuu Tunazotoa ni:

1. UZALISHAJI WA MICHE BORA

2. UJENZI WA GREENHOUSE

3. UFUNGAJI WA MIFUMO YA UMWAGILIAJI

4. UBUNIFU WA BUSTANI

5. USIMAMIZI WA MASHAMBA

6. MAFUNZO YA KIVITENDO YA KILIMO NA UFUGAJI

7. UZALISHAJI NA USAMBAZAJI WA MAZAO

MS AGRICULTURAL SERVICESNi taasisi inayolenga kusaidia vijana, wakulima, na jamii kwa ujumla katika shughuli za kilimo n...
10/11/2025

MS AGRICULTURAL SERVICES

Ni taasisi inayolenga kusaidia vijana, wakulima, na jamii kwa ujumla katika shughuli za kilimo na ufugaji.

Lengo na Dhumuni Letu

🌱 Kusambaza elimu na mbinu bora za kilimo kwa wakulima na jamii kwa ujumla, ili kuongeza tija na kufanikisha kilimo cha uhakika.

🌱 Kutumia sayansi, teknolojia, na ubunifu katika sekta ya kilimo ili kutatua changamoto zilizopo na kuimarisha sekta hii muhimu.

🌱 Kushirikiana na wakulima, wafugaji, wahusika wa masoko, wafanyabiashara, serikali, na jamii kwa ujumla ili kupunguza uhaba wa mazao (bidhaa na chakula) nchini, sambamba na kupunguza changamoto za bei kubwa sokoni.

Maono Yetu

🌱 Upatikanaji wa huduma bora za kilimo na ufugaji, na kuwa kinara wa ubora katika sekta hii nchini na barani Afrika.

22/08/2025

✅MAENDELEO YA MICHE BORA KATIKA VITALU (NURSERY) VYETU.

Safari yetu ya maonesho ilikuwa ni ya kuvutia sana, asanteni kwa kuwa nasi 🌱.🌿Sasa, hebu turudi shambani, tuone uzalisha...
21/08/2025

Safari yetu ya maonesho ilikuwa ni ya kuvutia sana, asanteni kwa kuwa nasi 🌱.

🌿Sasa, hebu turudi shambani, tuone uzalishaji, uleaji na ukuaji wa mimea.

Nane Nane bado inaendelea! 🌾 Leo tumepata nafasi ya kukutana na watu wengi waliovutiwa na huduma zetu. Kesho tunaendelea...
08/08/2025

Nane Nane bado inaendelea! 🌾 Leo tumepata nafasi ya kukutana na watu wengi waliovutiwa na huduma zetu.
Kesho tunaendelea, usikose kutembelea banda letu MS Agricultural Services.

Green dreams, real results 🌱✨
05/08/2025

Green dreams, real results 🌱✨

Eye-catching garden designs kutoka MS Agricultural Services! For Your  ✅Home 🏠 ✅ Restaurant🦐 ✅Hotel 🏨🏩
03/08/2025

Eye-catching garden designs kutoka MS Agricultural Services!

For Your
✅Home 🏠
✅ Restaurant🦐
✅Hotel 🏨🏩

Tembelea banda letu MS Agricultural Services leo kwenye maonesho ya kilimo, viwanja vya NaneNane!
03/08/2025

Tembelea banda letu MS Agricultural Services leo kwenye maonesho ya kilimo, viwanja vya NaneNane!

MS AGRICULTURAL SERVICES ASUBUHI YA LEO KATIKA MAONESHO YA KILIMO KATIKA VIWANJA VYA NANE NANE
02/08/2025

MS AGRICULTURAL SERVICES ASUBUHI YA LEO KATIKA MAONESHO YA KILIMO KATIKA VIWANJA VYA NANE NANE

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MS Agricultural Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share