15/10/2026
SB SUCCESS BETTER Ni kiongozi kupitia
The Great Team event planners jukwaa la Mwanamke wa Mfano Nyanda za juu kusini.
Tunayo habari njema kwako kuwa mtumishi wa Mungu na mchungaji Dr.Rose Shaboka DR ROSE SHABOKA anakuja 29/11/2026 Tunduma Songwe.
Hivyo tunawakaribisha Wanawake wote wa Nyanda za juu kusini na Tanzania kwa ujumla kuja kujifunza mambo mazuri ya kiroho na kimwili kupata fursa na connection
Karibuni Sanaa
Great team event planners Tanzania
Logo Designer & Website Developer Mazagazaga point