Bilo shop's

Cómo llegar

Bilo shop's Información de contacto, mapa y direcciones, formulario de contacto, horario de apertura, servicios, puntuaciones, fotos, videos y anuncios de Bilo shop's, Tienda de alimentos, Alburquerque.

21/09/2026

We are open!

Unatafuta mchele mzuri kwa bei poa? Karibu bilo_shops kwa huduma ya uhakika! 🛒💚Mchele bora, safi na mtamu kwa matumizi y...
19/09/2026

Unatafuta mchele mzuri kwa bei poa? Karibu bilo_shops kwa huduma ya uhakika! 🛒💚

Mchele bora, safi na mtamu kwa matumizi ya familia yako — bei rafiki kabisa! 😍

📍 Karibu bilo_shops leo
📞 0657 395 577

Bilo Shops — Mahitaji yako yote, sehemu moja! 🛍️

27/04/2026

😊 Unatafuta mahitaji ya nyumbani?

Mwisho wa mwezi huu pita dukani kwetu—tunayo kila kitu unachohitaji kwa ubora na bei nzuri.

26/04/2026
Ramadhan mubarack
19/02/2026

Ramadhan mubarack

Ramadhan mubarack   ̇man
18/02/2026

Ramadhan mubarack
̇man

Mchele wa kahawia ni chanzo kizuri cha virutubisho muhimu, ikiwa ni pamoja na vitamini B k**a vile thiamine, niasini, na...
10/10/2025

Mchele wa kahawia ni chanzo kizuri cha virutubisho muhimu, ikiwa ni pamoja na vitamini B k**a vile thiamine, niasini, na vitamini B6, pamoja na madini k**a vile magnesiamu, fosforasi na selenium.

mchele mweupe hupoteza sehemu kubwa ya vitamini na madini haya Wakati wa mchakato wa kusafishwa, na hivyo kuufanya kuwa na virutubishi kidogo ikilinganishwa na mchele wa kahawia.

Mchele wa kahawia na mchele mweupe hutofautiana kwa kiasi kikubwa katika utajiri wa lishe.

Dirección

Alburquerque

Página web

Notificaciones

Sea el primero en enterarse: le enviaremos un correo electrónico cuando Bilo shop's publique novedades y promociones. Su dirección de correo electrónico no se utilizará para ningún otro fin y puede darse de baja en cualquier momento.

Atajos

Compartir