26/04/2026
Watu wengi Kenya wanasema:
“I’m covered… niko na SHA… niko na insurance…”
Lakini ukweli huanza kujulikana ukiingia hospital.
Reality ni hii 👇
❌ “This service is not covered”
❌ “Limit imeisha”
❌ “Kindly top up”
Na hapo ndio una realize…
huwa hukuwa protected — ulikuwa tu unatumai things zitaenda poa.
During COVID, niliona hii first-hand nikiwa ndani ya mfumo wa healthcare.
Niliona watu wakikuja hospital na emergencies, wengine bila plan yoyote ya kifedha…
Na shock kubwa ilikuwa hii —
wengi walidhani wako covered… but hawakuwa ready for the real cost.
Sasa with SHA kuingia, watu wengi wanadhani solution iko complete.
But truth ni:
👉 Chronic diseases zinaongezeka (diabetes, pressure, cancer)
👉 Hospital bills zinaendelea kupanda kila mwaka
👉 Na most covers hazijabuilt kushika long-term costs
So let me ask you…
Wewe uko covered kweli — ama uko one hospital bill away from harambee? 🤔
📌 Part 1 ya hii story ina-drop soon… follow usikose.
MoneyTalksKE ChamaSavings WealthProtection FinancialLiteracyKE KenyanEntrepreneurs PersonalFinanceKE