05/08/2026
On Friday bois wangu called and goes like "vipi bro, hii weekend nataka nipeleke familia mahali safe waone lions, nùgù, cheetah na nyonde sampli ya cùcù wa njokà😅" nikwambia "say no more".
Sasa si the only place ni hapo National park? Nikampea direction namna msuri vile ataenda na kulipa alafu baas mimi nikaenda zangu.
Jamaa ananipigia simu leo ananiambia ati lion hazikua, nikashindwa kwani zinaendanga mid term? He says the only thing he saw ni nugu na zilikua zinawanyang'anya chakula yao. Pia kulikua na bush na watu wanapita.
Hapa nikajua ju jokopai alienda city park buana. Kule ndio nugu wanaeza wekelea wewe kangeta ushangae. Nugu ikona mpaka pension na six pack, hapana chesa.